Visa Card Vs Master Card

Visa Card Vs Master Card

nimeuliza hili swali sababu awali nilikuwa na visa card ya CRDB ilikuwa ikifanya kazi vizuri huku "ughaibuni" bahati mbaya ili expire ilibidi niombe card mpya.. jana imefika lakini si VISA card bali ni Master Card! ... ndio najiuliza tofauti yake ni nini..?!

CRDB visa card ilikuwa inanisaidia sana kwenye biashara zangu!
 
Credit Card zote mbili zinafanya kazi sawa..angalia tu added advantages na gharama za charge za benki...

Just a note - Baadhi ya Credit cards zinazotolewa na Mabenki yenye address za Africa ..sometimes zinakuwa na slight inconvenience katika kutumia hasa online. Niliwahi kusumbuka kutumia Master Card ya Exim hadi niliwaandikia Master Card international, hapo nikajua sio tu Exim bali bank zenye address za Africa zinahusishwa na controls zaidi kutoka kwa baadhi ya wauzaji na sio Master Card.
 
Zote ni kadi za benki zinazorahisisha matumizi ya fedha. Zote ni kampuni za Kimarekani. Unaweza ukazipata katika namna mbili; kama debit card au kama credit card.

Debit card inachukua nafasi ya pesa taslimu. Yaani badala ya kubeba hela na kuzitumia ktk malipo yako, unaweza ukatumia debit card iliyounganisha moja kwa moja na checking account yako. Ukinunua kitu au huduma basi unaichanja tu hiyo debit card yako na hela zinatoka moja kwa moja kwenye akaunti yako kwenda kwa huyo unayemlipa. Hii inahitaji kimashine cha kuchanjia. Pia unaweza kulipia hivyo kwa njia ya simu au mtandao.

Credi card ni kama mkopo. Badala ya kupewa mkopo wa pesa taslimu unapewa ki-card hicho badala yake. Na chenyewe unakitumia kama ilivyo debit card lakini tofauti ni kwamba hela itokayo kwenye credit card si yako. Ni mkopo na hivyo itabidi uulipe kwa kadri utumiavyo (ukopavyo).

Nimeeleweka?

umeeleweka mkuu Asante sana endelea kutumia elimu yako kwa manufaa ya wengi
 
Master Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa MASTER. Kwa mfano kama unayo master card ya CRDB unaweza kuchukua pesa kwenye ATM ya Exim, NBC au Backlays etc .

Visa Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya CRDB huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye ATM ya NBC, Exim au Backlays
..mkuu hii si kweli...siku hz exim pia machine zao zinaallow Visa card kutoa hela...pia barclays,na NBC ukiwa na VISA card unatoboa ukuta tu
 
Nyani wacha uongo kwa Tanzania inaweza kuwa tofauti hata nchi nyingine kuna cards ambazo huwezi kuchukua mpunga kwenye benki nyingine. Inategemea na mtoa card kakupa masharti gani. unless unapalilia yaliyopo USA.

BTW Tanzania unaweza kuchukua pesa kutoka kwenye mashine za Barclays tu kama una card kutoka nchi za magharibi na hivi vibenki vingine hupati kitu.

Kama huna uhakika na kile unachokiandika ni bura usichangie. Hii forum inatumika kuelimishana na siyo kupotoshana.

Kama una card yenye nembo ya VISA be it debit or credit, utaweza chukua pesa toka kwenye ATM yenye nembo ya VISA popote pale duniani. Card yangu ina nembo ya VISA na bank yangu ipo UK. The many times I have been to Tanzania I have withdrawn money from most of the major banks including CRDB (UDSM - 2006) and NBC Mlimani City - 2009.

Again if you are not sure of the issue being discussed, it is better not to contribute.
 
Mkuu, Ujumbe Umefika Vizuri kabisa.
Thanks
 
Hiyo ni kweli, sasa hivi naona CRDB wanatoa kadi za Mastercard na sio Visa tena. Nahisi wameshindwana na watu wa VISA na CRDB wameamua kuingia mkataba na Master Card.
 
Hiyo ni kweli, sasa hivi naona CRDB wanatoa kadi za Mastercard na sio Visa tena. Nahisi wameshindwana na watu wa VISA na CRDB wameamua kuingia mkataba na Master Card.

wakati na activate wanipe PIN # ilibidi niwapigie simu nikawambia kwamba awali nilikuwa na tembo card visa card, mbona mara hii wamenitumia mastercard! yule shori anaitwa " jully" akaniambia kwamba awali card zao zilikuwa na matatizo na visa card , ni kweli kuna kipindi ilifika nikitumia CRDB VISA card ilikuwa inagoma labda hadi nirudi kesho yake ( siongelei kuhusu tanzania , nikiwa tanzania halijawahi kunikuta hili tatizo)

nadhani ndio sababu wameamua kutoa mastercard

anyways its all good as long mi biashara zangu zinaenda fresh! since nishajua hakuna tofauti kati ya hivi vitu viwili! sina tatizo nao , maana nilitaka niwarudishie card niwakomalie nataka VISA sio MASTERCARD
 
Mimi pia niikuwa natumia Visa card(CRDB Visa Electron) nje ya nchi, nilikuwa nikiitumia kutoa hela katika local ATM ya benki yoyote kule na chargers zinakuwa nafuu kuliko kutumiwa hela kwa western Union kutoka bongo, lakini nilikuwa natumia ya rafiki yangu coz ya kwangu walinitumia card kwa EMS ikapotea njiani. Sasa nimerudi juzi kati hapa nikaamua nifungue account mpya with Crdb ili nipate kadi mpya, ila wameniambia sasa hivi wanatoa MASTER CARD, kwa vile mimi nahitaji kukitumia vile vile for online shopping(esp. with paypal) wamenishauri nifungue na VISA Electron Tembo card since MASTER CARD ni mpya na hawajai-activate for internet banking. Kwa hiyo nimefungua VISA CARD pia ntapata baada ya wiki 2 na nusu. Ila tu nna wasiwasi kuwa endapo wata de-activate VISA cards kabisa na kubaki na Master cards pekee wakati tayari nimesharudi ughaibuni, Master cards watazi activate automatically for internet banking na online purchasing au inabidi mpka uende kwenye ofisi zao na kadi yako?..Hapa bado nna sintokujua coz nimefungualia mikoani na nilivyoona hawa wahusika wa huku pia haelewi vya kutosha operation ya hizi cards na hata tofauti zao. In short maelezo yao hayajibu maswali mengi niliyonayo!
 
jamani nafikiri NN maelezo yake yanaeleweka, cha kuongeza hizi ni shared network kwa ngazi ya dunia, ila zipo za kwa nchi kama vile ken-switch kenya,Zim-switch Zimbabwe, umoja-switch -TZ (bahati mbaya hatuna national switch inayounganisha mabenk yote -TZ). ili card yoyote iweze kutumika kwenye ATM au POS n.k, lazima kadi hiyo iwe imerusiwa kutumika hapo, ndo maana unaweza kuta ATM ina visa au Mastercard au vyote (na mitando mingineo kama Europay), kama wewe kadi yako ni ya visa lazima utumia kwa ATM ambayo ina-support visa kadhalika kwa mastercard lazima hiyo ATM iwe ina-support mastercard au vyote.

kinachotoke mabenki yenye ATMs yanakuwa na connection kwenda kwenye mtando husika(Visa/mastercard). Anapokuja Mteja wa benk A mfano mwenye Visa card kwa ATM ya benk B (zote ziko Visa) transaction hii upelekwa visa na bank B, then Visa, watajua hii card ni mteja Benk A, wataipeleka huko kwa ajiri ya kuangalia balance kama inatosha kutokana na kiwango mteja alichoomba, then response hurudi kwa style hiyohiyo hadi kwenye ATM na kutoa pesa. vinginevyo utaambiwa kadi yako haitabuliki.

kuna aina ya transactions kama 3 (on-us,not-on-us na remote-on-us)
on-us = inamaanisha ATM yako mteja wako (kwa kawaida gharama huwa ndogo)
not-on-us = ATM yako Mteja si wako (hivyo basi km ni visa/mastercard unawasukimizia huko waangaike nayo) gharama iko juu kidogo kulipa mwenye ATM, mwenye card na visa
remote-on-us=ATM si yako bali Mteja ni wako

kwa kuangilia trx hizo mwisho wa siku mabenki huweza kurudishiana fedha walizo chukuwa wateja wao (net figure) tofauti ya unachodai na unachodaiwa
 
Nyani wacha uongo kwa Tanzania inaweza kuwa tofauti hata nchi nyingine kuna cards ambazo huwezi kuchukua mpunga kwenye benki nyingine. Inategemea na mtoa card kakupa masharti gani. unless unapalilia yaliyopo USA.

BTW Tanzania unaweza kuchukua pesa kutoka kwenye mashine za Barclays tu kama una card kutoka nchi za magharibi na hivi vibenki vingine hupati kitu.

sio kweli, mimi nina Cirrus na ninaweza kuchukua pesa through ATM za NBC, CRDB & stanbic, nahisi hata ATM za Bank nyingine zitatoa sijajaribu tu. na ninapata rate nzuri tu sawa na za mtaani hapa DSM
 
master card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye atm yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa master. Kwa mfano kama unayo master card ya crdb unaweza kuchukua pesa kwenye atm ya exim, nbc au backlays etc ...visa card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye atm za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya crdb huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye atm ya nbc, exim au backlays
uwongo/upotoshaji
 
Wakuu msiwe na wasiwasi kuhusu Visa, MC, Discovery ama AMEX kwani wazee wa mafeki/wachina nao wameshaanzisha independent international monetary network yao yenye logo ya kipekee inaitwa "CHA CHING", leongo lao ni kuwapita Via na Mastercard
 
Master Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa MASTER. Kwa mfano kama unayo master card ya CRDB unaweza kuchukua pesa kwenye ATM ya Exim, NBC au Backlays etc ...

Visa Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya CRDB huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye ATM ya NBC, Exim au Backlays
Hata viza inakuwezesha kuchukua benki yoyote yenye viza duniani kote
 
Zote ni kadi za benki zinazorahisisha matumizi ya fedha. Zote ni kampuni za Kimarekani. Unaweza ukazipata katika namna mbili; kama debit card au kama credit card.

Debit card inachukua nafasi ya pesa taslimu. Yaani badala ya kubeba hela na kuzitumia ktk malipo yako, unaweza ukatumia debit card iliyounganisha moja kwa moja na checking account yako. Ukinunua kitu au huduma basi unaichanja tu hiyo debit card yako na hela zinatoka moja kwa moja kwenye akaunti yako kwenda kwa huyo unayemlipa. Hii inahitaji kimashine cha kuchanjia. Pia unaweza kulipia hivyo kwa njia ya simu au mtandao.

Credi card ni kama mkopo. Badala ya kupewa mkopo wa pesa taslimu unapewa ki-card hicho badala yake. Na chenyewe unakitumia kama ilivyo debit card lakini tofauti ni kwamba hela itokayo kwenye credit card si yako. Ni mkopo na hivyo itabidi uulipe kwa kadri utumiavyo (ukopavyo).

Nimeeleweka?

Umeeleweka lakini hukujibu swali. Yeye anataka tofauti kati ya Master Card na VISA card. Wewe umetoa similarities.
 
Umeeleweka lakini hukujibu swali. Yeye anataka tofauti kati ya Master Card na VISA card. Wewe umetoa similarities.

Sijajibu kivipi wakati katika maelezo yangu nimesema zote ni kadi za benki zinazotolewa na makampuni mawili ya Kimarekani. Fundamentally hazina tofauti na tofauti kubwa iliyopo ni zinatolewa na makampuni mawili tofauti.

Au wewe ulitaka niandike orodha nzima ya tofauti zake, kwa mfano, Mastercard makao yake makuu yako Purchase, New York. Na makao makuu ya Visa yako San Francisco, California etc., etc.

Nembo ya MasterCard ina vimiduara viwili, kimoja cha rangi ya chungwa na kingine cha rangi ya manjano. Vimiduara hivyo vimeunganika na katikakati yake kuna maneno "MasterCard".

Nembo ya VISA ni kiboksi chenye background nyeupe na neno VISA kwa herufi kubwa limeandikwa katikati.

Ndiyo ulitaka hivyo? Au wewe unazijua tofauti gani zingine?
 
Wakuu msiwe na wasiwasi kuhusu Visa, MC, Discovery ama AMEX kwani wazee wa mafeki/wachina nao wameshaanzisha independent international monetary network yao yenye logo ya kipekee inaitwa "CHA CHING", leongo lao ni kuwapita Via na Mastercard

mkuu hebu kuwa serious ! hii issue ni muhimu sana ... katika mizunguko yangu nafika hadi china, hakuna kitu kama hiko (CHA CHING) , kule wana " union pay " card yeyote yenye logo ya union pay unatoa pesa kwenye ATM yeyote! " nadhani kwa bongoi ndio wanaita umoja switch" nikiwa kule natumia CRDB visa card kwa bank of china, agriculture bank of china, citi bank (ukiwa na card ya citi bank tawi lolote duniani nasikia utatoa fedha ) , industrial commercial bank of china ( hawa nilikuta tawi lao Mauritius)

Kama hiyo kitu ipo hebu tupe source tujisomee

union pay ipo hivi

China_Union_Pay_Card.jpg
 
Kama huna uhakika na kile unachokiandika ni bura usichangie. Hii forum inatumika kuelimishana na siyo kupotoshana.

Kama una card yenye nembo ya VISA be it debit or credit, utaweza chukua pesa toka kwenye ATM yenye nembo ya VISA popote pale duniani. Card yangu ina nembo ya VISA na bank yangu ipo UK. The many times I have been to Tanzania I have withdrawn money from most of the major banks including CRDB (UDSM - 2006) and NBC Mlimani City - 2009.

Again if you are not sure of the issue being discussed, it is better not to contribute.

How long ago did you visit Tanzania? I was there last week, I can assure you that, I used both cards (visa debit card, Visa Credit card and master card) I was not lucky to get money anywhere else except Barclays. Unless this development happened yesterday.

[/COLOR]

sio kweli, mimi nina Cirrus na ninaweza kuchukua pesa through ATM za NBC, CRDB & stanbic, nahisi hata ATM za Bank nyingine zitatoa sijajaribu tu. na ninapata rate nzuri tu sawa na za mtaani hapa DSM

Aliyekwambia naongelea Cirrus ni nani?
 
Back
Top Bottom