Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwa mwenye akili mbuzi piaVikwazo mbuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwenye akili mbuzi piaVikwazo mbuzi.
polesana kwakweli nimegundua ulipo nashidaVikwazo mbuzi.
Unachekesha bwana mdogo, Mrusi anaweza kumuwekea Usa tangu lini ?uwe unatoa na tarifa ya vikwazo ambavyo urusi nayo imeiwekea marekani ili ku barance story,
Russia akikata supply ya gas European countries, Mambo yatakuwa bambam maana USA hana ubavu wa kutosheleza mahitaji ya European countries. Hao big brother wawili wameunda malipo yao kama unataka gas au kitu chochote toka Russia au china inabidi utumiye CIPS. Petrodollar inaenda kuanguka, jamaa wamejipanga muda mrefu sana Russia na China.Kampuni za malipo ya kifedha za Marekani, Visa na Mastercard zimezifungia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia huduma zake ikiwa ni sehemu ya vikwazo kwa Urusi
Aidha, Kampuni hizo zimeahidi kutoa Dola za Kimarekani Milioni 2 kila moja kwa ajili ya kusaidia katika masuala mbalimbali ya Kijamii huko Ukraine
Jumamosi, Februari 26, Marekani, Canada na Ulaya zilitangaza vikwazo vipya kwa Urusi ikiwemo kuzuia baadhi ya Wakopeshaji kutumia Mfumo wa Kimataifa wa malipo wa SWIFT
Inaelezwa kuwa Februari 27 na Februari 28, Warusi wamejipanga katika misururu mirefu na kusubiri muda mrefu katika ATM kutoa fedha wakiogopa huenda kadi zitaacha kufanya kazi au Benki zitadhibiti kiasi cha kutoa fedha
====
U.S. payment card firms Visa Inc (V.N) and Mastercard Inc have blocked multiple Russian financial institutions from their network, complying with government sanctions imposed over Moscow's invasion of Ukraine.
Visa said on Monday it was taking prompt action to ensure compliance with applicable sanctions, adding that it will donate $2 million for humanitarian aid. Mastercard also promised to contribute $2 million.
"We will continue to work with regulators in the days ahead to abide fully by our compliance obligations as they evolve," Mastercard said in a separate statement late on Monday.”
The government sanctions require Visa to suspend access to its network for entities listed as Specially Designated Nationals, a source familiar with the matter told Reuters. The United States has added various Russian financial firms to the list, including the country's central bank and second-largest lender VTB (VTBR.MM).
On Saturday, the U.S., Britain, Europe and Canada announced new sanctions on Russia - including blocking certain lenders' access to the SWIFT international payment system.
Russians rushed to ATMs and waited in long queues on Sunday and Monday amid concerns that bank cards may cease to function, or that banks would limit cash withdrawals.
Russia calls its actions in Ukraine a "special operation".
Many Western banks, airlines and more have cut ties with Russia, calling the country's actions unacceptable. European nations and Canada have shut their airspace to Russian aircraft.
Ulaya inategemea Gas ya Urusi kwa asilimia 25 tuu.Russia akikata supply ya gas European countries, Mambo yatakuwa bambam maana USA hana ubavu wa kutosheleza mahitaji ya European countries. Hao big brother wawili wameunda malipo yao kama unataka gas au kitu chochote toka Russia au china inabidi utumiye CIPS. Petrodollar inaenda kuanguka, jamaa wamejipanga muda mrefu sana Russia na China.
View attachment 2135674
View attachment 2135675
kama ulisikia alosema jana QATAR kuhusu hio tuuuUlaya inategemea Gas ya Urusi kwa asilimia 25 tuu.
Very funny [emoji1]Kama unafananisha Visa na MasterCard vs Wechat basi rudisha simu kwa aliekupa.
25%? [emoji2297]Ulaya inategemea Gas ya Urusi kwa asilimia 25 tuu.
Ulaya inategemea Gas ya Urusi kwa asilimia 25 tuu.
Vikwazo mbuzi? ATm zao watatumia Tembocard za CRDB au Umoja card wameshawatoa kimataifaVikwazo mbuzi.
Hayo ni mawazo ya Wakomunisti,Dunia ya sasa sio ile anayofikiria Putin.
Ninarudia vikwazo mbuzi. Watu wanaondokana na cards wenyewe wanatuletea vitu vya 1990s. Utoto tu.Vikwazo mbuzi? ATm zao watatumia Tembocard za CRDB au Umoja card wameshawatoa kimataifa
Wamiliki wa.visimahuko urusi ni makampuni wakubwa ya Magharibi ni kama kununua mafuta uarabuni wamiliki wakubwa wa hayo mavisima na uchimabaji ni makampuni wakubwa ya uarabuni
Unachekesha bwana mdogo, Mrusi anaweza kumuwekea Usa tangu lini ?
Mzee ninakuheshimu sana. Usiweke vitu simple kiasi hiki kama wale watoto wanao comment kwenye Facebook.Wamiliki wa.visimahuko urusi ni makampuni wakubwa ya Magharibi ni kama kununua mafuta uarabuni wamiliki wakubwa wa hayo mavisima na uchimabaji ni makampuni wakubwa ya uarabuni
Ficha ujinga wako sababu wewe huna pesa za kigeni kwenye akaunti Zako una vishilingi na husafiri nje ya nchi wala hununui bidhaa nje ya nchi au kufanya biashara nje ya nchi unauza genge tu mitaani kwako tuNinarudia vikwazo mbuzi. Watu wanaondokana na cards wenyewe wanatuletea vitu vya 1990s. Utoto tu.