Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mzee wewe unajiona unaelewa vitu sio. Nimekwambia wewe, hujui technology. Nimekwambia tangu mwanzo nina miaka zaidi ya 5 situmii MasterCard wala Visa Card natumia Wechat na ninanunua vitu nje.Ficha ujinga wako sababu wewe huna pesa za kigeni kwenye akaunti Zako una vishilingi na husafiri nje ya nchi wala hununui bidhaa nje ya nchi au kufanya biashara nje ya nchi unauza genge tu mitaani kwako tu
mtu kama wewe huwezi elewa chochote kuihusu Visa na master card vikwazo hivyo maana yake nini
Jifunze technology mwanangu. Usibaki 1990s dunia ilishahama huko mzee.