Visa, Mastercard zazuia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia mifumo yao

Russia akikata supply ya gas European countries, Mambo yatakuwa bambam maana USA hana ubavu wa kutosheleza mahitaji ya European countries. Hao big brother wawili wameunda malipo yao kama unataka gas au kitu chochote toka Russia au china inabidi utumiye CIPS. Petrodollar inaenda kuanguka, jamaa wamejipanga muda mrefu sana Russia na China.



 
Ulaya inategemea Gas ya Urusi kwa asilimia 25 tuu.
 
Hivi sisi tukiamua kuwatandika mmoja wa jirani zetu,
Tutawekewa vikwazo au tutatandikwa tu?
 
Hayo ni mawazo ya Wakomunisti,Dunia ya sasa sio ile anayofikiria Putin.

Russia ni nchi huru inajiamulia inavyotaka kama marekani inavyojiamulia

marekani ilivamia sirya, iraq, libya, afghanistani, pakstani na kuuwa maerfu ya watu kwaiyo hiyo ndiyo dunia mnayoitaka

Russia analinda mipaka yake zidi ya ugaidi wa nato,
 
Vikwazo mbuzi? ATm zao watatumia Tembocard za CRDB au Umoja card wameshawatoa kimataifa
Ninarudia vikwazo mbuzi. Watu wanaondokana na cards wenyewe wanatuletea vitu vya 1990s. Utoto tu.
Sasa hivi vitu ni online payemnts. Wewe unabeba makadi kwenye wallet kama kichaa
 
Unachekesha bwana mdogo, Mrusi anaweza kumuwekea Usa tangu lini ?

marekani mpka jana bado ameendelea kununua mafuta russia lita million 170, kama haujui marekani na wapambe wake wanahiitaji russia kuliko russia inavyowaitaji wao,
 
Wamiliki wa.visimahuko urusi ni makampuni wakubwa ya Magharibi ni kama kununua mafuta uarabuni wamiliki wakubwa wa hayo mavisima na uchimabaji ni makampuni wakubwa ya uarabuni
Mzee ninakuheshimu sana. Usiweke vitu simple kiasi hiki kama wale watoto wanao comment kwenye Facebook.
 
Ninarudia vikwazo mbuzi. Watu wanaondokana na cards wenyewe wanatuletea vitu vya 1990s. Utoto tu.
Ficha ujinga wako sababu wewe huna pesa za kigeni kwenye akaunti Zako una vishilingi na husafiri nje ya nchi wala hununui bidhaa nje ya nchi au kufanya biashara nje ya nchi unauza genge tu mitaani kwako tu

mtu kama wewe huwezi elewa chochote kuihusu Visa na master card vikwazo hivyo maana yake nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…