Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mzee wewe unajiona unaelewa vitu sio. Nimekwambia wewe, hujui technology. Nimekwambia tangu mwanzo nina miaka zaidi ya 5 situmii MasterCard wala Visa Card natumia Wechat na ninanunua vitu nje.Ficha ujinga wako sababu wewe huna pesa za kigeni kwenye akaunti Zako una vishilingi na husafiri nje ya nchi wala hununui bidhaa nje ya nchi au kufanya biashara nje ya nchi unauza genge tu mitaani kwako tu
mtu kama wewe huwezi elewa chochote kuihusu Visa na master card vikwazo hivyo maana yake nini
Pro Russia mko so unrealistic kwa sababu mnaongozwa zaidi na hisia kuliko facts.marekani mpka jana bado ameendelea kununua mafuta russia lita million 170, kama haujui marekani na wapambe wake wanahiitaji russia kuliko russia inavyowaitaji wao,
Ulishawahi ONA kampuni yeyote ya mafuta YA URUSI Africa nzima?Mzee ninakuheshimu sana. Usiweke vitu simple kiasi hiki kama wale watoto wanao comment kwenye Facebook.
FSB SVR herufi ngeni hizo kwangu. Dadavua tafadhaliPutin ni chaguo la FSB SVR na amewekwa pale kwa masrahi ya russia wala hategemei kura za vikaratasi kubaki madarakani
40% , naweka hesabu sawaUlaya inategemea Gas ya Urusi kwa asilimia 25 tuu.
Ujinga mtupuMzee wewe unajiona unaelewa vitu sio. Nimekwambia wewe, hujui technology. Nimekwambia tangu mwanzo nina miaka zaidi ya 5 situmii MasterCard wala Visa Card natumia Wechat na ninanunua vitu nje.
Jifunze technology mwanangu. Usibaki 1990s dunia ilishahama huko mzee.
Tumaongelea MasterCard wewe unaongelea makampuni ya mafuta. Mzee usihamishe mada. Kama unataka tuongelee makampuni anzisha thread hiyo.Ulishawahi ONA kampuni yeyote ya mafuta YA URUSI Africa nzima?
Makampuni wakubwa ya mafuta duniani ni ya nchi za Magharibi ndio yake dominate hiyo sector Afrika,nchi za Kiarabu,Ulaya na Urusi kwenyewe
Urusi baada ya ujamaa kusambaratika walibinafsisha mikampuni mingi kwa wawekezaji wa nchi Magharibi ikiweko mikampuni mafuta na gesi wao wakabakia kupokea kodi tu
Ina maana akisema wajibu mapigo wake vikwazo vya kufukuza hiyo mikampuni kuanzia Urusi yenyewe ndani kutakuwa na shida ya mafuta na gesi ndio maana Urusi wameufyata hadi sasa kuwekea vikwazo makampuni ya Magharibi ya mafuta na gesi na vinaendelea kuuzwa nchi za Magharibi hawana mjanja wanaona something is better than nothing walau waambulie chochote
Ubinafsishaji unawatokea Puani .Putin kabanwa kwenye kona
25 ni nyingi sana, haina replacement ya wiki au mwaka mmoja.. sasa hivi inaumiza sanaUlaya inategemea Gas ya Urusi kwa asilimia 25 tuu.
Tatizo umekalili mzee. Hujui siku hizi kuna Alibaba!? Unajiaibisha mwanangu.Ujinga mtupu
Maduka wakubwa kama Amazon utatumia wechat? Unanunua kwa machinga online?
Utanunuaje wakati akaunti za hela za kigeni ziko blocked uko Russia.Hujui kuwa Russia wamewekewa vikwazo hawaruhusiwi kutumia pesa za Euro,Dollar,Pound na Yen ya Japan popte online or whatever ?hicho ki wechat chako utanunua nje kwa shilingi za Tanzania? Usiufiche ujinga kwenye teknolojia koko ya wechat
Tatizo umekalili mzee. Hujui siku hizi kuna Alibaba!? Unajiaibisha mwanangu.
Mzee mbona unakuwa mshamba sana. Hujui Renminbi (Yuan).Alibaba ni duka online kama Amazon nk yako mengi kuna eBay nk
Wamewekewa vikwazo Russia kufanya transaction yeyote ile kwa pesa za Euro,Dollar ,pound ya uingereza na Yen ya Japan popote online nk
Huyo Alibaba wako utamlipa kwa shilingi za Tanzania ukinunua vitu kwao?
Narudia usitumie teknolojia kuficha ujinga wako kuviita vikwazo mbuzi uko kwenye teknolojia Miaka mitano lakini iliyojaa ujinga
Yuan huwezi tumia kununua chochote Ulaya na marekani utaishia kuitumia kununua vitu low quality vya china vilivyozagaa mitaaniMzee mbona unakuwa mshamba sana. Hujui Renminbi (Yuan).
Yaani unaandika wewe naona aibu mimi. Ndio maana nakuwambia wewe bado mshamba sana kwenye mambo ya Technology. Jifunze kwanza ndio uje kujadiliana na mimi. Kwa mawazo yako haya ya kitoto hivi wazungu wataendelea kututawala.
Halafu unaichukulia Russia kama Mayotte siyo!?
Russia wanajitosheleza wao kiuchumi mzee. Hawakuhitaji wewe hapo kwa mtogole.
Hapo ni sawa na maji kupanda mlimauwe unatoa na tarifa ya vikwazo ambavyo urusi nayo imeiwekea marekani ili ku barance story,
Wanaweweseka tu. Na baada ya hapa itafanyika reformation ya kila kitu.Wapumbavu wote wa Visa, MasterCard, Hta mashirikisho ya Soccer wamegeuka wanasiasa.
Geopolitics zunawahusu vipi?
Mzee nani anakwambia anaenda kununua ulaya!? Mbona unabadilika badilika tu.Yuan huwezi tumia kununua chochote Ulaya na marekani utaishia kuitumia kununua vitu low quality vya china vilivyozagaa mitaani
Na ni nani mchimbaji mkuu wa hiyo Gesi na mafuta huko Russia?40% , naweka hesabu sawa
Wanawaua wateja wao Ukraine wanaotumia Visana Mastercard hivyo kupunguza customers na wanashabulia majengo yenye ATM zao.kuvuruga biashara zaoWapumbavu wote wa Visa, MasterCard, Hta mashirikisho ya Soccer wamegeuka wanasiasa.
Geopolitics zunawahusu vipi?
Mzee nenda kasome uchumi. Hapa unajiaibisha mno. Ukiwa soba utakuwa unajicheka mwenyewe.Wanawaua wateja wao Ukraine wanaotumia Visana Mastercard hivyo kupunguza customers na wanashabulia majengo yenye ATM zao.kuvuruga biashara zao
Soka pia wanawaua wacheza mpira wa Ukraine na kuvuruga Ligi za Ukraine sababu haziwezi endelea kuchezwa wakati mabomu yanarindima.Viongozi wa mpira na wachezaji wengi wamekuwa wakimbizi na kuwa ulitaka wakae kimya?
Nadhani hauelewi mteja wako anauawa ,biashara zake zinaharibiwa ambaxo ndizo kufanya watumie Visacard na Mastercard halafu ukae kimya.Haiwezekani Mapato yao wameongea Ukraine yamepungua sababu ya vita shughuli za uchumi kuathirika wameanza nao kuanzia vitani
Uchumi kwenye vita unaathirika ndio maana mwathirika lazima achukue hatua Visacard na Mastercard kila ukitoa pesa unakatwaMzee nenda kasome uchumi. Hapa unajiaibisha mno. Ukiwa soba utakuwa unajicheka mwenyewe.