Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Shinyanga kuna tajiri mmoja dukani kwake huwa anakaaga na toto lake moja linatoa kamati zezeta hivi. Yuko karbu na crdb.

Crdb ? Niliwahi fanya kazi hapo mjini na mitaa ya shy naifahamu. Mie nahisia yule ama mweny M-PESA na huduma za kibenki sio wa kawaida. Anakuwaje na msururu wa mteja wengi hao na jirani kuna ATM MACHINE. Kupitia yule mama wa pale kona aliniaminisha kuwa ukiacha Kigoma, sumbawanga shinyanga nayo imo kwa Madawa ya kimira
 
Kweli tunatofautiana, kwangu sharti gumu apo kutodindisha apo kwa kweli bora niukose huo utajiri.

Binafsi sharti la kutodindisha siwezi.! Kupiga mashine ndio naiona starehe kubwa hapa duniani. Sijawahi ona starehe yenye starehe kama kupeleka motoo na mtoto ajue kuisugua koni na nyama ya ndani.
Chukue vyoteee niachie mashine yangu [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Heeeee mkuuu umeeelezea kwa hisia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja na hii niiweke kwenye readlist yangu [emoji4][emoji4][emoji4].! Wallahi nafurahia bando langu JF
 
Binafsi sharti la kutodindisha siwezi.! Kupiga mashine ndio naiona starehe kubwa hapa duniani. Sijawahi ona starehe yenye starehe kama kupeleka motoo na mtoto ajue kuisugua koni na nyama ya ndani.
Chukue vyoteee niachie mashine yangu [emoji12][emoji12][emoji12]
Mganga niachie dudu langu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Crdb ? Niliwahi fanya kazi hapo mjini na mitaa ya shy naifahamu. Mie nahisia yule ama mweny M-PESA na huduma za kibenki sio wa kawaida. Anakuwaje na msururu wa mteja wengi hao na jirani kuna ATM MACHINE. Kupitia yule mama wa pale kona aliniaminisha kuwa ukiacha Kigoma, sumbawanga shinyanga nayo imo kwa Madawa ya kimira
nina miaka mitatu sijakaa mjini pale ila nadhani unamzungumzia Yule mama opposite na duka la marehem kwilasa. Mishe hzo sidhani. Location yake ina mfavor pia ana mtaji wa kutosha kuoperate huduma za kifedha. Halafu kingine usukumani kule wasukuma wengi wanapenda kuhudumiwa na mtu na sio mashine ndio maana anaweza ipita atm akaenda fahari huduma.
 
Back
Top Bottom