Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

NASIKITIKA KUTANGAZA KUA CHIZI MAARIFA HATOENDELEA NA UZI HUU.
SABABU KUBWA IKIWA NI KUTISHIWA MAISHA HIVYO BASI, KWAKUA ANAYAPENDA MAISHA YAKE AMEAMUA KUUFUNGA RASMI HUU UZI.

ASANTENI KWA KUA NASI NA KWAHERINI.
mkuu unachokifanya sio fresh.. ni vizuri angekuja mwenyewe kutuambia tu kwa sababu yupo, sema mkuu Chizi Maarifa unachotufanyia sio uungwana ni kheri basi ungetupanga kwamba story haipo tena, unaanzisha thread mpya hii umeitelekeza hii sio fair kabisa..

watu tulikuwa darasani hapa dah!
 
Sasa kusema ukweli sio fair kwa misingi ipi??
Akija yeye kusema taarifa kama niliyosema mimi kutakua na utofauti gani??

Ndo ivo atakuja kuthibitisha au ngoja niwatafutie nilipopata hii habari.
 
mkuu unachokifanya sio fresh.. ni vizuri angekuja mwenyewe kutuambia tu kwa sababu yupo, sema mkuu Chizi Maarifa unachotufanyia sio uungwana ni kheri basi ungetupanga kwamba story haipo tena, unaanzisha thread mpya hii umeitelekeza hii sio fair kabisa..

watu tulikuwa darasani hapa dah!

Screenshot_20210511-105020.png
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO

NASIKITIKA KUTANGAZA KUA CHIZI MAARIFA HATOENDELEA NA UZI HUU.
SABABU KUBWA IKIWA NI KUTISHIWA MAISHA HIVYO BASI, KWAKUA ANAYAPENDA MAISHA YAKE AMEAMUA KUUFUNGA RASMI HUU UZI.

ASANTENI KWA KUA NASI NA KWAHERINI.
TANGAZO TANGAZO TANGAZO

NASIKITIKA KUTANGAZA KUA CHIZI MAARIFA HATOENDELEA NA UZI HUU.
SABABU KUBWA IKIWA NI KUTISHIWA MAISHA HIVYO BASI, KWAKUA ANAYAPENDA MAISHA YAKE AMEAMUA KUUFUNGA RASMI HUU UZI.

ASANTENI KWA KUA NASI NA KWAHERINI.
HII KITU WANAWAKE HUWA WANASEMANA KUWA NI UMBEA. UNAJIPA MAJUKUMU AMBAYO HUKUOMBWA NA MHUSIKA. KUSAMBAZA HABARI. NI UMBEA ASILIMIA 100. JAMBO HILI NI BAYA KWA WANAUME. WATU HIVI HUTENGWA NA WANAUME.
 
Endelea na story basi mkuu.
Hiyo ni taarifa sio umbea ndugu yangu, nimescreenshot na reply zako kwenye uzi fulani hapo, angalia juu hapo.
Usinitenge lakini aisee😁😁
 
HII KITU WANAWAKE HUWA WANASEMANA KUWA NI UMBEA. UNAJIPA MAJUKUMU AMBAYO HUKUOMBWA NA MHUSIKA. KUSAMBAZA HABARI. NI UMBEA ASILIMIA 100. JAMBO HILI NI BAYA KWA WANAUME. WATU HIVI HUTENGWA NA WANAUME.
nilisema akaninunukuu na screenshot kabisa[emoji16][emoji120]
 
umenipendelea Hata Four sijakanyaga
haya mzazi Unataka kuounguza stress vp na form 4 cjakanyaga

(ntareply nikivuka mpka)
Form four bado tu hamjafungua shule ?? Mrudi shule mkasome tuacheni wqzazi wenu tupunguze stress za ada zilizoisha mwezi Njanuari
 
Lovelovie
Antonnia

Huu ushuhuda nitauendeleza maana kipindi kile niliacha baada ya kupigwa biti. Naona wadau wananiona mimi kama mkorofi wakati siyo. Ni kisa ambacho huwa sipendi sana kukizungumza ila nitafanya hivyo. Namtia moyo mugaka asisuse....😁
 
Back
Top Bottom