Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Chief nimeifuatilia story yako, inazidi nipa reflection ya mambo kadhaa ambayo nimekutana nayo kupitia (kwa waganga ambao nimeshatembelea kwao), watu niliofamiana nao in the course of life na wanawake [ni mmoja hasa] niliyekuwa naye. Huyu mwanamke alinifumbua macho kwa mambo mengi ya kusaka utajiri huko ziwa tanganyika. Noti alikuwa nayo hasa, licha ya kuwa alikua akinipenda na sometimes kunipiga tafu sana financially maana by that time nilikua broke, niliamua kuachana nae baada ya kuniletea story za maagano kati yangu na yeye [hiki ni kitu kibaya sana], ingawa haikuwa rahisi kuachana nae.

pia nilipokuwa university, kuna jambo lilitokea likanilazimu niwe na lala ghetto kwa jamaa yangu. Yule jamaa alikuwa na ghetto kama lile aliloimba ngwea. Kilichonishangaza jamaa alikuwa analala chini. Nimepoa pale geto siku tatu, ikabidi nijikatae nitafute kigesti hausi nipoe kwa muda, mishe za yule mkigoma nilikua sizielewi. Huwezi kuwa tajiri kama huna roho ngumu.
mkubwa fungua uzi ufafanue kwa kirefu, hii story yako nayo inaelekea ipo interesting, usisahau kunitag
 
Mtanisamehe kwa hati mbaya
Kuna point nimekutana nazo Mkuu wanao kupinga bado watoto wadogo kwenye mambo haya

binafsi nakumbuka mwaka 2005 kuna sehemu mtaani jamaa mmoja mtu wa kigoma huko mwenye mali za masharti
kuna siku nilienda kutatua short ya umeme nyumbani kwake yeye hakuwepo alikuwa mpangaji mmoja tu ndio anaamia.

Chakushangaza zaidi nyumba kubwa inavyumba kumi na mbili lakini wapangaji wote wameama

Nilipanda juu ya dali kwa kusoma dua sana kwa sisi waislamu (naas,falaq,ikhaalas ) mara tatu tatu
nikafanya kazi nimemaliza ile kushuka chini mwenye nyumba na mkuta kukasirika sana ana mwambia yule mpangaji huyu fundi(kijana jr) simjui nikakaa kimya wakasemana na mpangaji wake pale mm nikakaa kimya

Mwisho nikamwambia mzee juzi tu simekufungia feni pale dukani kwako mzee mbona leo unasema unijui
mzee akaendelea kukataa sikujui kabisa na sijawahi kukuona hapa mtaani
.akatoa simu na kupiga kisha huyo kasepa nikabaki mimi na yule mpangaji
ambaye anaamia nikaanza kumlaumu
kwanini umenidanganya kuwa umeshaongea na mwenye nyumba mimi nifanye kazi yule mpangaji akabaki ameduwaa tu kijana jr nimeongea nae na nikamwambia ni wewe akasema uje urekebishe na shangaa anasema kwamba hakujui. mimi nikasepa zangu home kesho yake nikaanza kuumwa moyo na kifua nikigeuka upande siwezi napata maumivu makali ya moyo kwa ndani nikikoa au kuongea ni maumivu per day kazi yangu ni kulala chali nikapelekwa mnazi mmoja kupiga x-lay nikaambiwa sina tatizo lolote kwenye moyo nikaandikiwa sindano tano za powercef aiseee sindano kali zinaumaaaa balaaa nikachomaa after five day nikamaliza ila maumivu ya moyo yapo pale pale kazi yangu ikawa ni kulala kuna siku bimkubwa akanifata kijana jr mara ya mwisho ulifanya kazi nyumba gani nikawa sina kumbukumbu vizuri kumbe yule mpangaji wa yule mzee alikuja home kuniulizia akaambiwa amelala anaumwa ndio akamwambia bi mkubwa yote yaliotokea Fasta tu bimkubwa wakanipeleka kwenye rukya(maombi ya kiislamu) ndio nikakaa sawa yule mzee nikikutana nae anashtuka sana mkuu wanao kupinga ndio hao hao wazee wa Ndago . mwaka jana mwishoni nyumba ameivunja amejenga kanisa baada ya ile nyumba kukosa wapangaji na siri mtaani kuvuja mauza uza ya mule ndani jamaa ana vx kali anauza kiduka anavaa ndala amegeuza za rangi tofauti
 
Chief nimeifuatilia story yako, inazidi nipa reflection ya mambo kadhaa ambayo nimekutana nayo kupitia (kwa waganga ambao nimeshatembelea kwao), watu niliofamiana nao in the course of life na wanawake [ni mmoja hasa] niliyekuwa naye. Huyu mwanamke alinifumbua macho kwa mambo mengi ya kusaka utajiri huko ziwa tanganyika. Noti alikuwa nayo hasa, licha ya kuwa alikua akinipenda na sometimes kunipiga tafu sana financially maana by that time nilikua broke, niliamua kuachana nae baada ya kuniletea story za maagano kati yangu na yeye [hiki ni kitu kibaya sana], ingawa haikuwa rahisi kuachana nae.

pia nilipokuwa university, kuna jambo lilitokea likanilazimu niwe na lala ghetto kwa jamaa yangu. Yule jamaa alikuwa na ghetto kama lile aliloimba ngwea. Kilichonishangaza jamaa alikuwa analala chini. Nimepoa pale geto siku tatu, ikabidi nijikatae nitafute kigesti hausi nipoe kwa muda, mishe za yule mkigoma nilikua sizielewi. Huwezi kuwa tajiri kama huna roho ngumu.
boss emu fungunga izo stori kiundani kidgo....
 
PART VI

Pale kazini nlifanya kazi miezi kama 8 hivi. Siku moja nlienda kazini nikaanza kazi zangu vizuri kama kawaida. Mchana hivi nlijiwa na kizunguzungu ghafla nikiwa chooni nliteleza katika mazingira ambayo chooni kwenyewe hakukuwa kunatelezesha kabisa. Kulikuwa kukavu.

Sikuanguka nikajigonga kichwa ukutani.nilitoka na kwenda kukaa chini ya gari moja nyuma kwenye Trailer.

Nikiwa nimekaa pale chini nliona kama mdada anakatisha mbele yangu akiwa ana nukia vizuri. Ila ghafla akapotea.

Maumivu ya kichwa yalizidi sana nikamwambia supervisor kuwa sipo ok. Kwa kuwa sikuwa na tabia ya kuomba omba ruhusa hakusita kuniruhusu kuondoka.

Nlirudi home nikiwa na joto kali sana huku natetemeka. Nlinunua panadol na kumeza nikaenda kulala. Nikiwa usingizini nilimwota Manager mmoja wa kihindi ambaye huyu alikuwa anaogopwa sana.alikuwa hana masikhara,ana matusi na anaamini waswahili ni wavivu. Hata wahindi wenzie walikuwa wanamwogopa. Akisema jambo hakuna wa kumpinga.

Nliota amenimwagia maji machafu. Nlishtuka kitandani saa 11 jioni nmeloana kwa jasho.nimeloana sana. Haraka nikamwambia mzee kuwa nina hali mbaya.

Mzee akanipa namba ya babu wetu wa familia. Nikampigia babu. Akaomba kama kuna nguo yangu yoyote ipelekwe kwake haraka. Ikapelekwa.

Alikuja nipigia simu usiku saa 8 niamke nikaoge. Nliamka kichwa kikiwa kinaniuma sana.

Nikaenda oga.nliporudi akanitaka nikae chini kabisa katikati ya chumba.

Akanambia kesho muda kama ule nliojigonga chooni ilitakiwa nife kwa maumivu ya kichwa ila kiuhalisia ni kuwa wale wahindi walitaka nitoa kafara.

Akanambia kuna jini nimetupiwa na lilikuwa linapambana na nguvu za ukoo. Akanambia nikaulize kazini mwaka jana kama kuna mtu alifariki na mwaka juzi.

But pia akanambia nisimwambie mtu jambo lolote kuhusiana na yale aliyonambia.

Kweli nlilala usiku ule kesho asubuhi nikaenda kazini. Kazini nlimuuliza jamaa yangu mmoja kuhusiana na wafanyakazi pale.

Kwenye maongezi jamaa alinambia pale almost kila mwaka lazima mtu afe.kutokana na zile kazi wengi hawanywi maziwa.so huwa wanaumwa kichwa then they pass away.

Lakini boss wao huwa anagharamia kila kitu ila anakosa muda wa kuhudhuria kwenye misiba. Husafirisha sehemu yoyote Tanzania bila shida.

Saa tano nlikuja itwa nikaonane na manager. Kufik ofisini kwake. Alikuwa amekasirika sana ananifokea kuwa hawezi vumilia uvivu na utoro.jana nmeondoka bila kufuata taratibu za kuomba ruksa.hivyo hataki niona tena pale kazini.

Nlishangaa kwa jinsi alivyokuwa amekasirika haraka akanambia niende kwa mhasibu akanipe stahiki zangu. Kwa mhasibu nlipofika nlikuta tayari ameshatenga mishahara yangu miwili.

Nlishangaa why iwe issue kubwa vile na ni kama imejadiliwa na kufanywa maamuzi.hamna kuomba msamaha,hamna maelezo. Nikatoka zangu kwenda beba vitu vyangu.

Nikarudi home .Katika watu ambao ni hatari ni wafanyabiashara tena wale wafanya biashara wakubwa achana na hawa wadogo wadogo.

Wafanyabiashara wengi Waarabu,Wahindi,Waswahili(Afrika) wanatumia sana ushirikina.pia ni wakatili sana linapokuja suala la pesa. Kukupoteza si jambo la kujiuliza mara mbili.

Sijafanya kazi kwa Wazungu. Nakumbuka CEO wa ile Kampuni pale Pugu Road alikuwa akifika asubuhi. Hasalimiani na mtu mpaka kwanza afike ofisini halafu anatoka ndo anasalimia.

Mkikutana asubuh kabla hajaingia ofisini kwake hakusemeshi na ukimsemesha hakujibu.

Yule bwana aliyenifukuza ilikuwa kuna kipindi cha sikukuu anatoa zawadi ya pesa yeye mwenyewe kila mtu anawekewa kwenye bahasha. Ila hakupi mkononi. Anaweka mezani kwa mkono wa kushoto halafu wewe ndo uichukue.

Siku moja kulitokea tatizo la umeme. Aliitwa fundi aje kutengeneza. Yule fundi alipanda juu darini akifuatilia waya wa umeme.

Aliyekuwa reception amekaa anasubiri (kwenda kwa Boss) dereva mmoja alikuwa anasubiri kuonana na Boss anasema kule juu alimsikia fundi akipiga kelele kali sana. Mara akaanguka akiwa ametoboa dari. Alipofika chini akawa anatoa povu. Walimpeleka hosp wale wahindi. Hatukumwona tena.

Haifahamiki nini kiliendelea maana hakuna taarifa ambayo iliwahi tangazwa next time alikuja fundi uneme mhindi.kukawa na minong'ono kuwa labda jamaa alishika umeme ukamrusha.

Haya yooote ndo yakaanza kuwa yanajirudia akilini. Nikarudi home.nikawa napata watu binafsi wanataka niwafanyie kazi. Nakodi mashine naenda wafanyia.

Nlikuja kupata msichana mmoja nikawa naye ghetto kipindi hicho nina vyumba vitatu kimoja ndo jiko na store.kingine sebule na kingine ndo cha kulala.

Nlikuwa na Kitanda kimoja tano kwa sita na kochi tatu za mbao za mtu mmoja mmoja.

Kiukweli kwa wasichana wa uswahilini walikuwa wananiona ninazo ukichukulia najipenda na mwonekano wangu. Basi yule bint akaanza taratibu akija anaacha nguo mwisho akija analala siku mbili tatu.

Mwisho akawa ndo mke wangu. Alikuwa mzuri sema mwongeaji sana.mimi nlikuwa mkimya mwenye aibu kiasi kwa mtu mgeni.but kwake nlizoea tu.

Yeye alikuwa ametoka Mbagala akawa anauza duka sinza baadaye anasema mume wa tajiri yake akawa anamtaka.wakagombana akaondoka. Akaanza kuuza vipodozi na mpaka muda huo alikuwa na kijiduka cha vipodozi na kisaluni.

Siku moja alikuja tembelewa na mdogo wake. Wakaenda kunywa pombe.mdogo mtu hakulewa sana ila huyu mke jina alilewa akarudi amechoka sana.

Nmerudi mimi saa mbili namkuta mdogo wake na yeye amelalal. Nikasalimiana na mdogo wake sababu tulikuwa tayari tunafahamiana.

Yule bint alikuwa mzuri kweli. Kama dada yake sema yeye umri mdogo. Halafu mtundu sana.

Mpka saa tatu ,saa nne sioni akitaka kuaga.na kumbuka anakaa mbagala ni mbali. Mwishowe akasema "leo shemu tunalala sote"

Nliona kama ananitania.wakati huo dada yake anakoroma tu kwenye kochi.

Akaingia chumbani kutandika.then akarudi kunambia chumbani tayari.nikambeba mke jina nikaenda mlaza.

Basi nami nikalala huku nikiamini anatania.

Akatoka akaenda oga.akarudi akaingia chumban akapanda kitandani.mke jina amelala tu anakoroma.

Yule bint alinisisimua maana nilitegemea angelala upande wa dada yake yeye akaja akaniweka katikati. Halafu kavaa khanga na chupi tu.

Siku ile nlifanya jambo la kijinga sana. Nlimla yule bint.mpaka usiku saa saba nlikuwa sijaweza lala. Nikamgeukia na kumgusisha **** akashika akasogeza chupi pembeni....

Sielewi ule ujasiri nlitoa wapi.asubuhi aliamka amechangamka tu wala hana wasiwasi.na mke jina analalamika kichwa kinamuuna.

Yule shemeji jina ilibidi nipange naye kuonana siku ile ile guest moja uswahilini huko ya 5,000 tukaenjoy sana. Huyu alikuwa mdogo wake kabisa kabisa mke jina.

Muda ulikuwa umepita nikaenda Mwenge kuulizia habari za Abdul. Kila mara baada ya mwezi nikakuta taarifa zake kuwa alikuja niulizia. Nilijawa na furaha sana.

Nikaelekezwa anakopatikana kwa mujibu wa maelezo yake. Abduli alikuwa anaishi Kinondoni. Muda mrefu ulikuwa umepita nlitamani sana kumwona.

Jumamosi nikaenda kinondoni Biafra sehemu ambayo alinielekeza nikiulizia ntampata. Siku nmekutana naye. Daaah.... Abdul bonge la bishooo... Anavaa hadi cheni na pete kibao mkononi. Alikuwa anaendesha gari toyota baloon. Nlishangaa sana. Abdul alikuwa si yule wa Kigoma.

Tulikaa sehemu tukawa tunakula...abdul anapiga na pombe za bei kubwa kidogo. Mimi mpaka muda huo nlikuwa naweza kunywa chupa moja au mbili tu. Katika maongezi ndo abdul akanipa michongo anayofanya. Nlishtuka sana....abdul hakuwa mwenzangu yule wa kutoka naye Kigoma....

Nitaendelea.....
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ifikie mahali Chizi Maarifa akianzisha nyuzi kama hizi Moderator wapigie pini tu.. Kuna ule uzi wake wa kushare mpenzi na jini kaishia njiani akasepa na sasa karudia upumbavu ule ule.

Mkimuuliza anajifanya mkali... Moderator piga pini huu uzi

Comment zinamkimbiza,pengine kwenye hili jambo anazungumza ukweli lakini jokes na masihara vimekua vingi hadi kuona ii hali mkuu
 
Mkuu kwani usiposoma chapisho lake kuna tatizo unataka kusema wanaosimamia hili jukwaa hawajui kuna watu wanaandika maneno yasiyonastaha lakini hamsemi huwezi kuamini pamoja na mtiririko wa story ambao umekuwa sio wakuridhisha lakini kuna watu wanajifunza nawengine kufarijika msamehe tu ndugu huenda ndomapungufu yake tuombeane tu ili mungu akipenda dunia nzima tuwekitu kimoja
 
PART VI

Pale kazini nlifanya kazi miezi kama 8 hivi. Siku moja nlienda kazini nikaanza kazi zangu vizuri kama kawaida. Mchana hivi nlijiwa na kizunguzungu ghafla nikiwa chooni nliteleza katika mazingira ambayo chooni kwenyewe hakukuwa kunatelezesha kabisa. Kulikuwa kukavu.

Sikuanguka nikajigonga kichwa ukutani.nilitoka na kwenda kukaa chini ya gari moja nyuma kwenye Trailer.

Nikiwa nimekaa pale chini nliona kama mdada anakatisha mbele yangu akiwa ana nukia vizuri. Ila ghafla akapotea.

Maumivu ya kichwa yalizidi sana nikamwambia supervisor kuwa sipo ok. Kwa kuwa sikuwa na tabia ya kuomba omba ruhusa hakusita kuniruhusu kuondoka.

Nlirudi home nikiwa na joto kali sana huku natetemeka. Nlinunua panadol na kumeza nikaenda kulala. Nikiwa usingizini nilimwota Manager mmoja wa kihindi ambaye huyu alikuwa anaogopwa sana.alikuwa hana masikhara,ana matusi na anaamini waswahili ni wavivu. Hata wahindi wenzie walikuwa wanamwogopa. Akisema jambo hakuna wa kumpinga.

Nliota amenimwagia maji machafu. Nlishtuka kitandani saa 11 jioni nmeloana kwa jasho.nimeloana sana. Haraka nikamwambia mzee kuwa nina hali mbaya.

Mzee akanipa namba ya babu wetu wa familia. Nikampigia babu. Akaomba kama kuna nguo yangu yoyote ipelekwe kwake haraka. Ikapelekwa.

Alikuja nipigia simu usiku saa 8 niamke nikaoge. Nliamka kichwa kikiwa kinaniuma sana.

Nikaenda oga.nliporudi akanitaka nikae chini kabisa katikati ya chumba.

Akanambia kesho muda kama ule nliojigonga chooni ilitakiwa nife kwa maumivu ya kichwa ila kiuhalisia ni kuwa wale wahindi walitaka nitoa kafara.

Akanambia kuna jini nimetupiwa na lilikuwa linapambana na nguvu za ukoo. Akanambia nikaulize kazini mwaka jana kama kuna mtu alifariki na mwaka juzi.

But pia akanambia nisimwambie mtu jambo lolote kuhusiana na yale aliyonambia.

Kweli nlilala usiku ule kesho asubuhi nikaenda kazini. Kazini nlimuuliza jamaa yangu mmoja kuhusiana na wafanyakazi pale.

Kwenye maongezi jamaa alinambia pale almost kila mwaka lazima mtu afe.kutokana na zile kazi wengi hawanywi maziwa.so huwa wanaumwa kichwa then they pass away.

Lakini boss wao huwa anagharamia kila kitu ila anakosa muda wa kuhudhuria kwenye misiba. Husafirisha sehemu yoyote Tanzania bila shida.

Saa tano nlikuja itwa nikaonane na manager. Kufik ofisini kwake. Alikuwa amekasirika sana ananifokea kuwa hawezi vumilia uvivu na utoro.jana nmeondoka bila kufuata taratibu za kuomba ruksa.hivyo hataki niona tena pale kazini.

Nlishangaa kwa jinsi alivyokuwa amekasirika haraka akanambia niende kwa mhasibu akanipe stahiki zangu. Kwa mhasibu nlipofika nlikuta tayari ameshatenga mishahara yangu miwili.

Nlishangaa why iwe issue kubwa vile na ni kama imejadiliwa na kufanywa maamuzi.hamna kuomba msamaha,hamna maelezo. Nikatoka zangu kwenda beba vitu vyangu.

Nikarudi home .Katika watu ambao ni hatari ni wafanyabiashara tena wale wafanya biashara wakubwa achana na hawa wadogo wadogo.

Wafanyabiashara wengi Waarabu,Wahindi,Waswahili(Afrika) wanatumia sana ushirikina.pia ni wakatili sana linapokuja suala la pesa. Kukupoteza si jambo la kujiuliza mara mbili.

Sijafanya kazi kwa Wazungu. Nakumbuka CEO wa ile Kampuni pale Pugu Road alikuwa akifika asubuhi. Hasalimiani na mtu mpaka kwanza afike ofisini halafu anatoka ndo anasalimia.

Mkikutana asubuh kabla hajaingia ofisini kwake hakusemeshi na ukimsemesha hakujibu.

Yule bwana aliyenifukuza ilikuwa kuna kipindi cha sikukuu anatoa zawadi ya pesa yeye mwenyewe kila mtu anawekewa kwenye bahasha. Ila hakupi mkononi. Anaweka mezani kwa mkono wa kushoto halafu wewe ndo uichukue.

Siku moja kulitokea tatizo la umeme. Aliitwa fundi aje kutengeneza. Yule fundi alipanda juu darini akifuatilia waya wa umeme.

Aliyekuwa reception amekaa anasubiri (kwenda kwa Boss) dereva mmoja alikuwa anasubiri kuonana na Boss anasema kule juu alimsikia fundi akipiga kelele kali sana. Mara akaanguka akiwa ametoboa dari. Alipofika chini akawa anatoa povu. Walimpeleka hosp wale wahindi. Hatukumwona tena.

Haifahamiki nini kiliendelea maana hakuna taarifa ambayo iliwahi tangazwa next time alikuja fundi uneme mhindi.kukawa na minong'ono kuwa labda jamaa alishika umeme ukamrusha.

Haya yooote ndo yakaanza kuwa yanajirudia akilini. Nikarudi home.nikawa napata watu binafsi wanataka niwafanyie kazi. Nakodi mashine naenda wafanyia.

Nlikuja kupata msichana mmoja nikawa naye ghetto kipindi hicho nina vyumba vitatu kimoja ndo jiko na store.kingine sebule na kingine ndo cha kulala.

Nlikuwa na Kitanda kimoja tano kwa sita na kochi tatu za mbao za mtu mmoja mmoja.

Kiukweli kwa wasichana wa uswahilini walikuwa wananiona ninazo ukichukulia najipenda na mwonekano wangu. Basi yule bint akaanza taratibu akija anaacha nguo mwisho akija analala siku mbili tatu.

Mwisho akawa ndo mke wangu. Alikuwa mzuri sema mwongeaji sana.mimi nlikuwa mkimya mwenye aibu kiasi kwa mtu mgeni.but kwake nlizoea tu.

Yeye alikuwa ametoka Mbagala akawa anauza duka sinza baadaye anasema mume wa tajiri yake akawa anamtaka.wakagombana akaondoka. Akaanza kuuza vipodozi na mpaka muda huo alikuwa na kijiduka cha vipodozi na kisaluni.

Siku moja alikuja tembelewa na mdogo wake. Wakaenda kunywa pombe.mdogo mtu hakulewa sana ila huyu mke jina alilewa akarudi amechoka sana.

Nmerudi mimi saa mbili namkuta mdogo wake na yeye amelalal. Nikasalimiana na mdogo wake sababu tulikuwa tayari tunafahamiana.

Yule bint alikuwa mzuri kweli. Kama dada yake sema yeye umri mdogo. Halafu mtundu sana.

Mpka saa tatu ,saa nne sioni akitaka kuaga.na kumbuka anakaa mbagala ni mbali. Mwishowe akasema "leo shemu tunalala sote"

Nliona kama ananitania.wakati huo dada yake anakoroma tu kwenye kochi.

Akaingia chumbani kutandika.then akarudi kunambia chumbani tayari.nikambeba mke jina nikaenda mlaza.

Basi nami nikalala huku nikiamini anatania.

Akatoka akaenda oga.akarudi akaingia chumban akapanda kitandani.mke jina amelala tu anakoroma.

Yule bint alinisisimua maana nilitegemea angelala upande wa dada yake yeye akaja akaniweka katikati. Halafu kavaa khanga na chupi tu.

Siku ile nlifanya jambo la kijinga sana. Nlimla yule bint.mpaka usiku saa saba nlikuwa sijaweza lala. Nikamgeukia na kumgusisha **** akashika akasogeza chupi pembeni....

Sielewi ule ujasiri nlitoa wapi.asubuhi aliamka amechangamka tu wala hana wasiwasi.na mke jina analalamika kichwa kinamuuna.

Yule shemeji jina ilibidi nipange naye kuonana siku ile ile guest moja uswahilini huko ya 5,000 tukaenjoy sana. Huyu alikuwa mdogo wake kabisa kabisa mke jina.

Muda ulikuwa umepita nikaenda Mwenge kuulizia habari za Abdul. Kila mara baada ya mwezi nikakuta taarifa zake kuwa alikuja niulizia. Nilijawa na furaha sana.

Nikaelekezwa anakopatikana kwa mujibu wa maelezo yake. Abduli alikuwa anaishi Kinondoni. Muda mrefu ulikuwa umepita nlitamani sana kumwona.

Jumamosi nikaenda kinondoni Biafra sehemu ambayo alinielekeza nikiulizia ntampata. Siku nmekutana naye. Daaah.... Abdul bonge la bishooo... Anavaa hadi cheni na pete kibao mkononi. Alikuwa anaendesha gari toyota baloon. Nlishangaa sana. Abdul alikuwa si yule wa Kigoma.

Tulikaa sehemu tukawa tunakula...abdul anapiga na pombe za bei kubwa kidogo. Mimi mpaka muda huo nlikuwa naweza kunywa chupa moja au mbili tu. Katika maongezi ndo abdul akanipa michongo anayofanya. Nlishtuka sana....abdul hakuwa mwenzangu yule wa kutoka naye Kigoma....

Nitaendelea.....
Doh sio poa
 
Back
Top Bottom