Visa vya kufumaniwa Jifunze

Wake za watu ni watamu balaa tena sana tu... Ubaya ni pale ukifumaniwa. Sijawahi fumaniwa, lakini nimetoka nao si chini ya watano

Kwa sasa nimeacha baada ya kumshuhudia mwamba mmoja kijijini kwetu (kile kipindi cha rockdown ya korona 2020) akitenganishwa mwili na kichwa kwa shoka!

Sema sahv masingle mama na vitoto vya 2000 (above 18 and out of school maana nina areji na sketi za shule) ndo watanimaliza
 
Dah! Uliwezaje kushuhudia ukatili wa namna hiyo.?
 
Dah! Uliwezaje kushuhudia ukatili wa namna hiyo.?
Vijana walikuwa wengi pale wakimshambulia mwamba huyo kuwa ni tabia yake kutafuna wake za watu... Sasa yule mwenye mke aliyefumaniwa naye siku hiyo hatuelewi alichomoka saa ngap kwenda kuchukua shoka

Mwamba alikuwa kalazwa chini baada ya kipigo kikali. Mara tukashangaa mwamba anainua shoka kwa mwendo wa sekunde shoka likatua shingoni

Mpka leo nikikumbukaga mwili unanisisimka
 
Hapo nadhani watu wote mlitawanyika kwa dk kadhaa.
 
Wataalamu wanasema kiwango cha raha unachokipata kwa kutembea na mke wa mtu ni kidogo sana tofauti na kiwango cha maumivu utayoyapata baada ya kufumaniwa, kupanga ni kuchagua
 
Ukishagongewa umegongewa tu haina reverse . .. baada ya Fumanizi anayeteseka ni aliyefumania kuliko aliyefumaniwa..... .. ukiona mkeo Ana tabia za umalaya piga chini ... tafuta mwingine .. wanawake wachache sana wanachepuka kwa bahati mbaya... wengi ni mafundi anaweza kuwa na wanaume hata kumi mtaa mmoja na hawajuani ..na mumeo hawezi hata kumhisi .. KAKA MCHUNGE MKEO ATALIWA KWENYE MAJANI
 
Hapo kwenye bold, umesema Kisheria, hapa nchini, kulala na mke wa mtu si kosa la jinai. Swali langu, mume anawezaje kudai fidia mahakamani kwa kitendo hicho kama hakuna sheria iliyofunjwa na mgoni?
 
Jitahidi ukae mbali na mke wa mtu mile 100, ikiwezekana ongeza na 50, kaa mbali sana na mwanamke aliyeolewa, wapo wenye akili timamu, wapo ambao hawawezi kujishikilia, unajikuta matatizoni.
Ni kujiheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…