Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Hapana mkuu hakuna maana hiyo kwenye kiswahili labda Uniletee kamusi iliyosajiliwa na baraza la kiswahili iliyotoa maana hiyo. Labda iwe ushirikiano wa jamii moja na nyingine kingono ntakuelewaHapana mkuu,hata ushirikiano wa jamii Moja na nyingine ni kujamiiana pia