Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Visa vya matapeli na watoto wa mjini

Mimi huwa nikipigiwa simu na mpenzi wangu(mchepuko) nikisikia tu "mpenzi nikuambie kitu" najua huyu anataka kunidanganya nimpe hela ndefu basi hapohapo nakata simu haraka natoa betri na line naficha kabisa uvunguni mwa kitanda kama wiki hivi ndiyo nawasha simu tena
Ahahah..Mkuu mm kwakwel huwa naepusha shari mapema sanaa.Huwa sipendelei mazoea kabisaa na hawa watoto.hata kwa mbaki yan siwataki.iwe kazi au kitaan nacheza nao mbal maana mwisho wa siku ndio wanaishia huku kwenye kupiga mizinga.Na mm sipendi kabisaa kuombwa hela.yan nachukia sana kuombwa hela na mabinti.so ukitaka usiliwe vyako na ww usile vya watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]niliwahi kufanya biashara ya maiti... Nikapeleka maiti feki usiku wa manane eneo la tukio nikalipwa changu nikasepa kufika home nimelipwa pesa feki[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Kilw kisa ulichosema ukisafir watoto wa nje wanapaka dawa kwenye maziwa ila kuna mmoja ulikutana nae yakaenda fresh ulikimalizia maana nakitafuta sikion nataka kujifunza jambo ilikuweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapo ndio hua mnanishangaza dada zangu. Sasa wewe unachukua laki ya mtu mwenye hela nyingi halafu unakimbia badala ungempa papuchi ungekua unajivutia zako mpunga wa maana kiulainii ungekuta saiz kashakujengea nyumba n.k. Wakati huo huo utakuta kuna kijamaa kinakutafuna bure bure tuu ata hakikupi kitu wewe ndio unakihudumia
Moyo uligoma kabisa kumpa kitu yangu
 
Mimi hapo ndio hua mnanishangaza dada zangu. Sasa wewe unachukua laki ya mtu mwenye hela nyingi halafu unakimbia badala ungempa papuchi ungekua unajivutia zako mpunga wa maana kiulainii ungekuta saiz kashakujengea nyumba n.k. Wakati huo huo utakuta kuna kijamaa kinakutafuna bure bure tuu ata hakikupi kitu wewe ndio unakihudumia
Hainaga formula mkuu, anaweza toa na habari ndio ikaishia hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom