Nilimfanyia ushenzi dada mmoja aliyetaka kujifanya yeye ni mtoto wa mjini, baada ya kumtia swaga akaeleweka lakini eti kwa kuwa alikuwa anataka aende kwanza nyumbani kuwapelekea hela, nikamuuliza ulikuwa unataka kupeleka sh ngapi akasema elfu 80 lakini hapo alikuwa ana sh elfu 50 tu so kama nitamuongezea 30 itakuwa vzr.
Nikamwambia asiwe na tatizo nitamwambia kijana wangu wa m pesa awatumie yote elfu 80 wala asiwe na wasiwasi.......basi nikampigia jamaa yangu mmoja hivi ambae kwa kweli akili zake anazijuaga yeye mwenyewe tu nikamuelezea shida yangu akasema haina shida tumtumia hyo namba, mdada akanipa mimi ndo niitume .......basi nikaituma kwa sms kwenda kwa huyo jamaa yangu mwehu mwehu, halafu kwa chini nikaongezea maneno USITUME HELA NI MISSION MAALUM.......baada ya muda tukajisogeza sehemu kupata kilaji, halafu nikampigia tena jamaa yangu nikamwambia ukishatuma elfu 80 kwenye ile namba na mi nitumie elfu 80 jamaa akakubali, nikamwambia kimwali kwamba wakati nasubiri muamala wangu basi tuagize kwa sababu yeye ana ile elfu 50 hela ikitumwa namrudishia.......kweli bana .........tukaanza kukata miti na kupanda miti huku nyama yetu pendwa ya kitimoto ikizidi kuteketea mezani, nikamshawishi tuchukue room akakubali, wakati huo kasahau na kuulizia kwenye ile namba aliyonipa kama imepokea elfu 80 au la.
Room akalipia yeye na nilivomuona alikuwa ana zaidi ya ile elfu 50 alonambia kuwa anayo, tukaendelea kupiga mtu kwa fujo, ili kumkoleza nikamtext jamaa yangu nikamwambia anitumie fasta laki moja, dakika chache tu muamala ukasoma 105,000/= nikamuonesha bi mdada akazidi kupagawa........ikawa kampa kampa tena mara akaachia mzigo, nilisimamia show kibabe maana nilikuwa nimepiga balimi mdogo mixing na jibapa........nikamuacha hoi, tukapumzika kidogo halafu nikamwambia twende nje tukaendelee kunywa, tukatoka nikamwambia aagize, nae akaagiza mi nikamwambia naenda kutoa ile hela tuendelee kupombeka.........hajaniona hadi leo na hiyo ilikuwa 2013
komando kinjekitile ngwale