Visa vya MonkeyPox vyaongezeka Ulaya na Marekani

Uje ili mafedhuli wote wafahamike na kuchukuliwa hatua kali za kisheria..
 
Sasa kwa nini tuchukue tahadhari na ugonjwa huu unawatesa mashoga
Wazungu walivyo washenzi, ugonjwa huu sasa hivi unaenea Ulaya na Marekani, hasa kwa mashoga.

Hii kuwaingiza sijui waafrika ni kutaka kujikosha tu.

"Since early May 2022, many countries in Europe, as well as Australia, and the U.S. have reported an increasing number of monkeypox cases.As a viral disease native to Africa, monkeypox is usually transmitted by animal-to-human contact, producing skin lesions, fever, and body aches in people the virus infects.Some recent cases of monkeypox have involved men who have had sex with men, however, experts say the disease is not a sexually transmitted infection but can spread via direct contact during sex"

Ref mtandaoni
 
Hizo ndizo laana za Mwenyezi Mungu. Hata Biblia inasema hakuna shoga yaani mfiraji na mlawiti ataingia peponi. Dhambi hii ni laana itafunayo kizazi hadi kizazi, msipende kusafisha mitaro mnaleta laana ya ushoga kwenye uzao wenu. Maana ushoga ni roho na sio asilia.
Ushoga ni tabia inayoambukizwa na sio asilia. Ewe mwanamke na mwanaume usipende kufukuliwa nawe mwanaume usipende kufukua, dhambi ni tamu lakini mwisho wake ni kuileta ile laana ya ushoga kwenye uzao wako. Je utafurahi kunyooshewa kidole mwanao shoga?
 
True kutokana na jinsi ilivyoumbwa mfumo wa uke ndio unaoweza himili zile kemikali za shahawa tofauti na mfereji maana mfereji umeumbwa kutoa uchafu na sio kuingiza uchafu.
 

Hivi hawa ujawajua tu ajenda zao.zote hizi ni Kazi za darksiders hapo kuna ajenda wanataka kuipenyeza duniani.Hawa jamaa ni calculated sana.Walileta corona wakapiga promo wee duniani nzima ikalert kupitia media zao za propaganda mfano BBC, CNN,hizi media zikiripot kiti media zote duniani ufuata,wametimiza malengo yao kutest mitambo ya 666 kupitia chanjo leo corona haipo wapo wanapima matokeo ya test. Mimi sichanji na sitochanja wapumbavu Sana hawa darksiders, tunaijua michezo yao ya kuichezea Dunia.
 
Haya masuala ya kuishi na wanyama wameyaanzisha wao. Mtu anaishi na tumbili ati mwanae wacha wapate magonjwa ya ajabu ajabu
 
Nimeona watoto wana hivyo vipele vipele, je nao ni mashoga?
 
Hapa Tanzania watoto umeanza kuwapata kwa wingi ukiwatoa vipele na homa za kuchemka sana haswa usiku.
 
Huu utafiti kiboko. Shahawa zinashusha kinga ya mwili? Mashoga hawafai kwa Tabia zao chafu Ila tusilete utafiti feki. Tukemee vitendo vya ushoga kwa nguvu zote kwa kuwa ni chukizo mbele za MUNGU.
 
Ahsante Mungu.

Haujafika Africa?naomba leo kesho ufike maana hawa wanaochomekana wanazidi kujidhihirisha ktk hili bara letu.
 
Huu utafiti kiboko. Shahawa zinashusha kinga ya mwili? Mashoga hawafai kwa Tabia zao chafu Ila tusilete utafiti feki. Tukemee vitendo vya ushoga kwa nguvu zote kwa kuwa ni chukizo mbele za MUNGU.
Yeah labda zinashusha kinga zikiingia sehemu siko utajuaje?zile ni kwa ajili ya ya mwanamke tena ziingie ukeni binadamu waliokosa stara wamegeuza kuziweka sehemu isiyostahili.
 
Hiyo inaitwa monkey pox, Tanzania walipeleka watu > 200 USA royal tour wakaishi huko kwa zaidi ya Wiki 2, labda waliwapelekea monkey pox!



 
Na hivi huku kwetu tuna nyani wengi,sijui itakuawaje?
Haaa sisi hayo magonjwa vitu vidogo kwetu. If you deny nature, nature will deny you. Ukiishi maisha ambayo unatumia vitu treated sana, maji treated, kila eneo furmigation, basi ukiwa exposed hata kwa bacteria ambao ni wa kawaida lazima uipate pate
 
Huu ugonjwa ulipukutisha nusu ya Raia huko ulaya miaka mingi iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…