Visa vya MonkeyPox vyaongezeka Ulaya na Marekani

Uwamalize tu washenzi hao
 
Wazungu wanajifanya wajanja wanatengeneza kirusi wanakileta Afrika hafu baadaye kinawarudia wenyewe sisi huku hata hatuna habari nachošŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Washenzi hawa bora hakijaanzia africa wangeweka ukuta kuzunguka africa nzima
 
True kutokana na jinsi ilivyoumbwa mfumo wa uke ndio unaoweza himili zile kemikali za shahawa tofauti na mfereji maana mfereji umeumbwa kutoa uchafu na sio kuingiza uchafu.
I agree zikienda kule ukeni hata kama kuna mpunguzano wa kinga, kuna namna ambayo uke wa mwanamke mwanamke hu-cope na hali hiyo naturally na isilete madhara makubwa mwilini mwake.
 
Huu utafiti kiboko. Shahawa zinashusha kinga ya mwili? Mashoga hawafai kwa Tabia zao chafu Ila tusilete utafiti feki. Tukemee vitendo vya ushoga kwa nguvu zote kwa kuwa ni chukizo mbele za MUNGU.
Hii ni nadharia, unaelewa maana ya nadharia bro? Kwa sasa ndio inahitaji utafiti kujiridhisha.

Lakini kwa kuanzia tu imeonesha [literature review] popote sperm anapotia mguu[au kichwa!] basi kuna namna kinga ya mwili ya sehemu husika zinainteract katika hali ambayo itawezesha sperm aweze kusurvive. Sasa kwa neno moja nikisema 'kushusha kinga ya mwili' huoni ni sawa tu.
Ref: Sperm success and immunity

Na ukitafakari vyoote vinavyodaiwa kuchukiwa na Mungu ni kwa sababu tu vinaharibu AFYA, aidha ya mtu, au ya familia, au ya jamii au ya dunia na ulimwengu kwa ujumla. Haipendezi kumuimagine Mungu kama 'mwenye chuki' bora umuimagine kama mwenye upendo kwetu na ndiomaana anapenda tuwe na AFYA! sisi kama wanae.
 
I agree zikienda kule ukeni hata kama kuna mpunguzano wa kinga, kuna namna ambayo uke wa mwanamke mwanamke hu-cope na hali hiyo naturally na isilete madhara makubwa mwilini mwake.
Uke ni positive hauathiriki na shahawa za kiume negative morter
 
Uke ni positive hauathiriki na shahawa za kiume negative morter
We jamaa inaonekana upo na linadharia tata sana kuhusu papuchi, ebu nieleze kidogo huo unegative na positive ukojekoje. Napenda kujifunza
 
We jamaa inaonekana upo na linadharia tata sana kuhusu papuchi, ebu nieleze kidogo huo unegative na positive ukojekoje. Napenda kujifunza
Yaani simu za mwanaume zikiingia kwenye pochi la mwanamke haziwezi leta madhara sababu kwenye pochi zipo kemikali ambazo zinauwezo wa kuua nguvu ya simu za wanaume na pochi litaendelea kubakia salama. Sasa ukichukua simu za wanaume ukazificha mtaroni ni lazima mtaro utaharibika tu kutokana na ile nguvu ya mionzi ya simu za wanaume. Ndo yanaibuka magonjwa kama huu, kansa, bawasari, na mengineyo.
 
Ushoga ni tabia na sio asilia,ushoga ni pepo ushoga ni roho, shoga ni mtu ambae nafsi yake imechukuliwa na shetani na kufanywa mtumwa wake.
Nguvu ya maombi tu ndio inaweza ikatibu ushoga na si vingine.
Ex Mwenyekiti maarufu wa mashoga TANZANIA aliyewahi olewa mara mbili plus kubakwa na wanaume wenzake, leo ni mtumishi wa Mungu amefanya ushoga miaka 20 akiwa maarufu Sana kwenye bar ya mashoga jina kwa macheni magomeni mapipa, baada ya kufunguliwa, kufunguliwa ni kitendo cha kunyang'anya kwa nguvu shetani haki yako ikiwemo nafsi yako, leo ameoa na sio kuolewa tena, na ana mke mzuri na watoto wawili wa kiume, na nguvu za kiume zimerudi akiwa rijali kabisa.
Ushoga unatibika.
 
Mambo mengine yanachekesha sana,
Yaani Monkey Pox ni Ugonjwa wa Mashoga!!? Lol,

UK wamepokea wagonjwa wawili ambao wameambukizwa huo Ugonjwa, wagonjwa hao walitokea Nchini Nigeria na waliporudi kwao UK ndio wakaanza kupata dalili za ugonjwa huo na Wagonjwa hao ni Wanaume wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moja,

Hatujui Safari yao Nchini Nigeria walienda kufanya nini hadi kukumbwa na gonjwa hilo na hatujui walikua wangapi na umesambaa kwa kiasi gani,

Aliyetoa tahadhari bado hajui ni Mashoga hao pekee ndio walikwenda Nigeria ama ni kikundi? akasisitiza kwa kusema kama wengine wakiona dalili zisizoeleweka kwenye miili yao basi waripoti haraka sana,

Kumbuka huo sio ugonjwa wa Mlipuko bali ni Wazungu waliosafiri kwenda Africa Nigeria na kubeba gonjwa hilo.
 
[emoji849][emoji706]
 
Huku haizungumziwi sana kwa sababu sio tishio sana
Waziri Javid amelielezea vyema na huku tunawaamini zaidi
Chanjo zipo
Na bila chanjo pia inaondoka kwa siku kadhaa
Ila kama ni ugonjwa wa mashoga hata ukimwi walituamijisha hivyo

Kwa Africa mpaka watoto wadogo wanapata je tueleweje?

Huku [emoji636] mpaka sasa wanaumwa wachache sana na hakuna vifo sio kama Covid
 
Hii ni kwa mashoga tu ama hata wanaogeuza wake zao?? Wabongo tuache unafiki watu mnanyonyana uchi wake kwa waume, mnageuza wake zenu n.k ila hampati madhara mpaka anayefanyiwa hivo awe shoga??

Dhambi zote ni sawa tu so tusijione wasafi kuliko hao unaoona hawafai.
 
Kufanya mapenzi kwa njia zisizo asili kote hakufai na kuna madhara, iwe aliyegeuzwa ni mme au ni mke haifai.

Na mapenzi ya njia ya mdomo pia hatari zake tushaziona kwa mtu kuambukizwa wadudu, na wale wadudu kutosikia dawa!

Sasa tukitumia nadharia ya shahawa zimepunguza kinga kooni, mdomoni na kutumia data hii tutasemaa. Kikawaida dawa za wadudu/antibiotic hufanya kazi za kuua/ama kusimamisha kazi za wadudu halafu kinga ya mwili ndiyo inawamalizia. Sasa kama kinga ni kidogo wadudu watalala mda dawa ipo dawa ikiisha wanaamka na kushambulia ndio maana tunasema usugu wa madawa. Kumbe tungesema na uzembe wa kinga pia.

So mapenzi yafanyike kiasili, tupu kwa tupu[sex] na mdomo kwa mdomo [kiss]sio cross multiplicationāŒ
 
Wabongo tupunguze conspiracy theories, yaani chanjo na "666" zinahusiana nini? Mbona chanjo zimekuwepo miaka maelfu, hata huu ugonjwa ulikuepo miaka maelfu au hata enzi hizo uliletwa na hao hao jamaa?? Muwe mnasoma Biblia na kuelewa msiendeshwe na matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…