visa vya ubalozini! sana sana dsm UKIONA HIVO UJUE UMECHOKWA

visa vya ubalozini! sana sana dsm UKIONA HIVO UJUE UMECHOKWA

Nyamuleha jr

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
185
Reaction score
65
ubalozi ni pale unapofikia kwa ndugu yako au rafiki wakati unatoka mkoani, bording school, au college: huwa pale kuna visa kama kuku uliza, utaondoka lini? kama kukuambia zima tv ipunzike! Kama mwanaume kuambiwa uoshe vyombo ulivyo lia chakula lkn mara nyingi visa hivi huvifanya kijanja ili uondoke ONGEZA VISA VINGINE
 
Nahisi maisha ya kijijini ni bora kuliko huku...shida nyingi tu
 
Isije ikawa mgeni mwenyewe kaanza kujistukia, kama kila mtu akimaliza kula anasafisha sahani yake kwa nini yeye aone shida. Kama siku nzima anashinda kwenye TV ashindwe hata kumwagilia maua nje au hata kusaidia kitu, wenye sura kavu watakuambia upumzishe TV.
 
hii ni kweli,,,unaenda kwa watu kufanya nn? Kaa kwenu kama huna chakufanya huko mjini,,kuna siku utaanza kuchambisha watoto...hapo hm...hapo utasemaje?
 
Back
Top Bottom