Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Mwandikie sms moja ikisema hivi " naijua hiyo"
 
Usijishebendue na wewe. Nimesoma nje miaka 5 hamna aliewahi niuliza nimpigie picha nyumbani kwangu. Wala kuomba bank statement lol. Kwani naomba mkopo?
 
Kufika USA sio big ishu dada hapa nazungumzia mtu mwenye exposure kubwa unayoizungumzia na vitu unavyotafuta kama haviusiani..ila endelea kutafuta huyo mume..
 
Mhh wewe jamaa uko vizuri kweli kichwani? Maisha yangu Sijawahi muomba mwanamke yote hayo bank statement ya bidada unapeleka wapi, aje kukwambia ana overdraft umsaidie kulipa 🤣 Dada Chenkov hapa unapotezewa muda, hao wanaume wote sio. Hawa wakaka wanaokubeza hapa achana nao, mwanaume anaekutaka atakugharamia full stop. Hao hawana pesa wanakutunishia tu. Sali piga goti Mungu atakupa wakwako na kama we mtafutaji atakupa mtaftaji kama wewe, usiombe ushauri kwa binadamu omba kwa Mungu. Me nimeoa na nakuelewa uko nje kugumu ila pambana na life lako, ukiona mchizi humuelewi usipoteze muda tupa kulee. Ni pili kwaa mandiko yako naona wewe ni mtu wa kuweka pesa mbele, acha! Unaona jinsi wanaume wanavogongana kukupiga knockout apa. ivo sasa kwenye mapenzi utafanyiwa hivo hivo . Wanaume wi wachache sana tuliona hali nzuri kimaisha ambayo mtoto wa kike mwenye mapene hatutetereshi . Asa we ukiendelea kujitunisha watakula kichwa. Be humble, pray. Mwanaume rijali hatajali pesa zako. Me mpenzi wangu alikua mwalimu leo anaendesha v8. Anaepima uwezo wako kifedha mwanzoni sio mume.
 
Kufika USA sio big ishu dada hapa nazungumzia mtu mwenye exposure kubwa unayoizungumzia na vitu unavyotafuta kama haviusiani..ila endelea kutafuta huyo mume..
Kaka mbona unabadilisha gia angani🤣🤣🤣🤣 usikimbie ebu nieleze huo mji gani. Si unasema unasema sijawahi fika na hio visa sina? Yani naomba ushauri unaanza kubisha stori ya uongo. Nikudanganye afu nipate nini? Shwain. Kama hauna mawazo ya kuniongeza basi waache wengine wanieleweshe mbona ni simpo tu, hujalazimishwa kuamini na sipewi pesa wala tuzo wewe ukiamini au usipoamini
 
Akili ni kipimo cha maisha
 
Asante kwa ushauri! Nitafuata, nimesoma ushari wako wote. Nimekuelewa
 
Mfano kuna bi mdada mkoa x mara aje na HELCOPTER na wazungu wanashukia uwanjani mara nini yani anapesa huwez kumuona humu kwa kina sugu
 
Dada narudi tena mimi sio wa kusema tubishane picha za USA hayo wafanye watoto wangu na wenzao yaani nianze kumeza majiji ya USA ambayo unakaa mwezi tu ili kuja kusimulia Tanzania ushamba huo mimi sina bhana..mimi nimeanza safari 1998 na huu ni 2024 bado nasafiri..
 
Hebu wrka picha yako kwanza kabla hatujaanza kukupa ushauri
 
Mwambieni atume kwanza nayakutolea
 
Msafiri tusiende mbali maana hii ligi umeianza wewe, imalize. Hapo wapi?
 
Mfano kuna bi mdada mkoa x mara aje na HELCOPTER na wazungu wanashukia uwanjani mara nini yani anapesa huwez kumuona humu kwa kina sugu
Nikupe username ya gsm uone utopolo anaoandikaga. Ebu tulia kalale kama hauna mchango wa ushauri
 
Usijishebendue na wewe. Nimesoma nje miaka 5 hamna aliewahi niuliza nimpigie picha nyumbani kwangu. Wala kuomba bank statement lol. Kwani naomba mkopo?
Kuzaliwa ama kuishi karibu na mahakama sio ticket ya kuijua Sheria.
Inabidi na wewe aone utachangia nini kwenye family yenu na sio kuleta mwili tu.
Unamuona Beyonce and Jay- Z. Hii dunia ni ya 50/50 hata Kenya ndoa ikivunjika unachukua ulichovuna kwenye ndoa.
Yaani wewe unao mwili uliozaliwa nao Halafu uolewe na mwanaume akahaso anamiliki billions/millions of dollars wewe ukale,kulala,kuishi kwenye kivuli tu na kesho mkiachana unasema kuwa mlichuma wote.
Wenzako wako nje milongo iyo miaka kwanza ulikuwa shuleni and you experienced nothing about Western life
 

Hio speech kawape watoto wa chuo. Sie tulio na nyumba gari na biashara hatuulizwi tunaleta nini mezani 🤣🤣🤣 sie ndio meza .unadhani nina wenge na billions za mtu🤣🤣🤣 babu nina zangu 🙈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…