Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

Kuna watu wanahitaji kupelekwa hospitali ya milembe Dodoma kwani wanaonekana wazi wana matatizo ya akili. Pole kizazi cha Genz.
dunia simama niteremke
 
Ligi na wewe wa juzi sina bhana nimeangalia picha za hapo sina..
Why are u so angry that a woman is doing good? U have to call her liar? Is it so peculiar? Mara sijafika huko marekani nakuonesha picha ooh marekani kitu kidogo… shida yako nini? Get well and heal! I did genuinly need advice in those 3 men and im glad to know what i was feeling was right! I chose a public platforms and remained anonymous to see real feedback! U will probably never know me or see me but stop arguing with women online u dont know because of ur own insecurities! HEAL! Mimi niko vizuri tu nimeishi nje nimesoma nje sina wenge na mtu yeyote. Wapo wanawake wapambanaji wana maisha yao na wako vizuri na hawana shida na mtu! Tupo ila marafiki na wanaume wanatutumia kama stepping stone, inauma sana hence sometimes nahitaji honest persoective ya watu. Na nashkutu nimepata. ila nyie ambao mpo hapa kutuambia sijui hichi sijui kile ebo tupishe. Kama hauna ushauri acha na kugombana na watu ambao huwajui!
 
Kuna watu wanahitaji kupelekwa hospitali ya milembe Dodoma kwani wanaonekana wazi wana matatizo ya akili. Pole kizazi cha Genz.
dunia simama niteremke
Tutaanza na wewe
 
Mfano kuna bi mdada mkoa x mara aje na HELCOPTER na wazungu wanashukia uwanjani mara nini yani anapesa huwez kumuona humu kwa kina sugu
Kwamba ukiwa una hela huhitaji mawazo ya watu ni ujinga! Thread ziko kibao za watu wakiomba ushauri, wakwangu una tofauti gani? Kwamba sio kweli nina pesa ni sawa, haina shida. Kwanza haina umuhimu ni kweli sina. Sema lingine
 
Kwamba ukiwa una hela huhitaji mawazo ya watu ni ujinga! Thread ziko kibao za watu wakiomba ushauri, wakwangu una tofauti gani? Kwamba sio kweli nina pesa ni sawa, haina shida. Kwanza haina umuhimu ni kweli sina. Sema lingine
Lingine nakupenda
 
Wanaume wa jf hawapatani na wadada wanaojiweza kimaisha, kwa vile wao wamefeli huko waliko wanajikongoja wanaona hakuna anaestahili kupata maisha mazuri hasa akiwa mwanamke, hapo watakuponda wakuvurugie mood yako na hiyo heading imekaa km unatafuta mume lakini kwa kusoma visa vyako sijaona km una haraka hiiiyo, basi wao wanaona raha kweli vile hujapata mtu wa kukusitiri, humu kumejaa wachawi acha kuwajibu wala kujaribu kuwahakikishia kuwa unaishi maisha gani,

Kwenye kukushauri jaribu kupunguza kuonekana uko stable financially wanaume wetu bado wanaogopa wanawake aina yako, kuwa submissive usijipandishe sana mabega mbona waume wapo tu kingine mwanaume wa peke yako km roho hayupo we hata akiwa na girlfriend hawaeleweki hawa, ukimuelewa vamia kambi kalia kiti kuwa mwenyekiti
 
Nimekulewa sana 🙏🏽🙏🏽 asante sana
 
Dada mbona unahangaika na mimi sina stress yeyote na kitu chochote fanya life yako bhana toka juzi upo na meseji za kitoto toto..
 
Dada mbona unahangaika na mimi sina stress yeyote na kitu chochote fanya life yako bhana toka juzi upo na meseji za kitoto toto..
Fanya yako basi. Achana na hii mada za kitoto toto mtandaoni. Basi kwaheri.
 
Update:
Kaka alikuwa tapeli. Nimempa vipande vyake na kumblock baada ya kumwomba proof of residence akashindwa kutoa inamaana ningebook hotel kwa pesa yangu ndo aje eti kuniona 🤣🤣🤣Wanawake wengi sana ambao tunajiweza tunakuwa victims kwa wanaume matapeli, wanjitahidi kujionesha kwamba wapo kama wewe na wanakutumia. Kilichonisikitisha sio hichi, kilichonisikitisha ni idadi ya wanaume humu ndani ambao walikuwa wananilabel mimi ndo muongo na maneno yote mabaya while clearly seeing the signs ambazo me sikuona sababu ya mapenzi. My question is, why do men hate women?
 
Mwanaume akishakusifia ulivyo mpambanaji ujue kaona kitonga hata kama ana hela vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…