Huyo huwezi maana alishatangulia mbele ya haki miaka 24 iliyopita.Si anasimamisha inasimama sasa tatizo liko wapi? Sio Nikki tu, mwambie hata baba yake na baba yako naweza kuwa mchepuko wake..! Una swali lingine? 😹😹😹
Nikki km una id yako humu unaona huu upuuzi njoo tufanye kweli aisee Sweet Mangi 😻😻 wala sina gharama utanunua kuku tutapika supu ili tukamilishe zoezi nimechoka kuzushiwa ujue 🤣🤣🤣
Kama ata umewahi enda sauzi apo niite UMBWA, kwa wenge lako na watu wanavokushushua ungekua ushatupia picha ata inaonesha chakula ata room uliyofikia mana uko eager to prove. Hakuna slay queen kahaba akodishe ata lodge ya elf 35 asiji snap chooni kwenye kioo
Uongo wa pili ni kutumia picha za mdada wa watu kumletea mikosi tu na mastory ya kusadikika kifuniko aka kizibo
Ila unatepeleka puta sana . Hatujamaliza kukushauri kuhusu jameel wajua, sasa huku ni wapi.picha tu? La hasha haya hizi hapa. Asa niambie kama hizi sehemu zote unazitambua ili tujue nani muongo. Sio kila mtu ana dhiki ndugu yangu! Dhiki yako muombe Allah akufanyie wepesi, haya sema ingine View attachment 3081131View attachment 3081130View attachment 3081129View attachment 3081128
It's okay to be dumb and beautiful. Not dumb and ugly.Kama hauna ushauri chapa lapa. Niwapige watu kwa shida zangu za mapenzi? Hivi visa naviweka apa maksudi sababu HUNIJUI na ndo vema ili nipate mawazo REAL … wanakuja wanaume wengi wanaandika visa vyao humu mnawashauri me mwanamke naandika kuomba mawazo eti watu watapigwa. Sio kila mtu ana shida na shing kumi yako. Shing kumi yako kaaa nayo na kama hauna pia ridhika na hali yako. Huna mbele wala nyuma unahangaika na kuwaita watu wapigaji. Ata cha kupigwa unacho sasa? Sio kila mtu mnuka shida, shwaaaiiin
Ni sawa tu usipoamini nachohitaji ni ushauri na ushauri nimepokea 👏Kwa kisa cha pili bora yule wa marekani, huyu wa pili hana interest na wewe anaweza kuwa hit and run.
Ingawa mtiririko wa visa kuna namna maelezo yanapandana ndio maana wengi tuna sema ni visa vya kutunga.
Madam kwani una umri gani sasa?🤣🤣🤣 kuna watu wanaweza kukujua kuliko unavojijua
Bangi nachai/kahawa wapi na wapi (obama)
Don't panic, atakuja wa kwako ila usifosi sana. Wakikuona desperate sana watakukula na kukimbia.
Relax, drink some water, act like you somebody daughterIts okay to be quiet if you cannot contribute to a conversation, you dont need an opinion in everything
Kwamba watajua mpk unakunywa maji kiasi gani kwa siku🤣🤣🤣 kuna watu wanaweza kukujua kuliko unavojijua
chai mbonaJamani eeh, dada yenu niko singo na niko kwenye haraki za kutafuta mpenzi! Ninajiweza niko sawa kifedha na la hasha navutia kwa kudra za mwenyezi Mungu ila usumbufu naouona ni bab kubwa. Ntakuwa nahadithia hapa muwe mnanipa ushauri wa kumchagua. Wanaume hawa wote ni wabongo kasoro baadhi. Mpaka natamani kuhama mkoa mwingine kutafuta mwenza wa maisha ila sasa kazi hizi jamani doh
Mwanaume wa kwanza: Agel
Agel ni mkristo mzuri tu tulisoma wote chuo huko Dom ye akapata scholarship kwenda majuu akabaki huko,Agel hajawahi hata kuniongelesha tulivokuwa chuo ila tulikutana mtandaoni siku moja akaulizia niko vipi anaona mihangaiko yangu na anapenda sana navojishughukisha ( me nauza nguo na vitu vya ndani ) basi bwana ye anaishi majuu na ana cheo kweli kweli, kupewa cheo nchi za watu sio rahisi cv imeshiba, ni executive fortune 500 company huko yeye ni mambo ya first class na kuendeshwa na dereva, ana hadi chef wa kumpikia .
Katika majadiliano siku moja akaniambia me Chenko nakuelewa mwenzako. Nikashangaaa nikamuliza why? Akasema wewe mpambanaji nimekupenda sana na nimekuwa nakupenda toka chuo basi tu ulikua mkimya mnoo… basi mtoto nikaona yes nimepata fortune 500 husband.
Ila katika maongezi jamaa nikawa simuelew elewi, kwanza ni mkali mlalamisha usipopokea simu anaandika message ndefu barua, tuko masaa 10 nyuma sasa ni ngumu kweli mawasiliano me nimelala yeye ndo anaenda kazini, pili kila saa ananisifia uko vizuri sana kifedha nakuadmire sijawahi pata mwanamke alie kama mimi, kidogo sikupenda hii statement… halafu kila saa anataka nimwoneshe napokaaa nyumba nimpe tour eh jamani, (hata ye alitaka kunipa tour nyumba ake nkasema ya nini jamani siku ukiniliaka si ntapaona?), gari naloendesha anataka address ya nyumbani kwangu kabisa , halafu maongezi yake mhhh mara ananimiss anataka kuhug sijui hajaona mwanamke miezi 6 toka kaachwa dah hasa nikawa nakuwa uncomfortable.. (hatujaonana miaka 12) huko nikawa nakausha basi akanialika niende majuu tupate our first date angalau, mhh nikasita kidogo sababu sijawahi fika marekani na anaishi new york kabisa ila nikapiga moyo konde sababu ni mualiko wacha tuone , nikatafuta visa nikapata.. khaaa kaka si ananiambia nijilipie ticket? Ye atagharamia kila kitu cha malazi nikifika.
Huyu Agel sijamuelewa yani unanifuata wewe una hamu kuniona wewe unanitongoza wewe unanisumbua nije tuwe na first date wewe afu nijilipie ticket? Akaniambia im sure unaweza kulipia haina shida kwako, doh statement imenikata mbaya…Hela ninayo ila sina shida ya kwenda marekani saa hiii, ndo kwanza nina safari ya china mwezi ujao kuchukua mzigo. Kanidissapoint, nimwache au nimwambie tukutane dubai afu nimsikilizie?
Ushindwe wewe tu🤣Itabidi alipie kabisa😂😂😂😂
Mwenzangu umetisha! Una 29 halafu mara ya mwisho mlionana chuo miaka 12 iliyopita Udom. Ina maana ulikuwa na miaka 17 mwaka wako wa mwisho? Ulisoma kwa mtaala wa nchi gani nipeleke wanangu niweze ku fast forward maisha. Ntashukuru ukinipa jibu 🙏🏾