[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ule msuguano wao wa kishabiki ulikuwa unanogesha tasinia nzima ya bongo movie.
Na ieleweke bila ushindani wa vile mara nyingi kunakuwa hakuna maendeleo ya jambo husika.
Inawezekana pia kama angetangulia Ray, Kanumba naye kwa kiasi fulani angeyumba.
-Kanumba The great ....Ray naye akajiita The Greatest [emoji28]
Nakubaliana na wewe mfano mzuri wa Turkey kama Ertugrul unaweza kulia mbele ya watoto na wakati mwingine wanakufanya unasahau kuwa hii ni tamthilia tu na unakuwa mkali na kupanic sasa hawa ndio waigizaji. Mimi siangalii bongo movie ila nimeshawahi kutizama miaka ya nyuma sababu ilikuwa ni kitu kigeni nchini unatamani kuona tukoje lakini experiance yangu haikuwa nzuri sababu kila picha ikiendelea naanza kucheka kwa kuona hakuna uhalisia katika mambo mengi sehemu ya huzuni badala ya kulia unacheka jinsi wanavyoigiza. Kuna picha nimeona jamaa ka act mlinzi lakini unaona kabisa huyu mtu kapitia saloon apendeze kwanza nywele zinawaka na heleni kavaa, jambazi lazima avae koti kubwa na miwani yaani picha yetu wote wamepita saloon na kunyoa fresh ili aonekani mzuri wakato role yake ni kucheza mlinzi au mtu maskini ana shida kibao. Hakuna uhalisia watu wanataka kuuza suraNilichomaanisha kuhusu wakenya nikumkubari the great nasiyo wao kuigiza vzuri, Mkuu light Kanumba angekuwepo Hadi Leo hii industry ingekuwa kubwa Sana na baadhi ya makampuni ya distribution yacnge kufa ila baada ya jamaa kufa na hayo makampuni yalizima sasa huoni umuhimu na uwepo wa jamaa.
Tunampima mtu kuwa ni muigizaji mzuri nipale anapoamua kuuvaa uhalisia, yaani kama unaigiza unalia tuone huyu jamaa analia kweli au unaigiza nikichaa basi tuone unafanya vitendo vya kichaa kweli
Hatumpimi mtu kwa kutumia bunduki au bastora vizuri ndiyo tuamoni ni good octor hapana Bali vitendo vya yule unaemuigiza kama ni chizi, muhuni, mpole, mcheshi,jambazi, mchungaji au shekh ukiwapatia hao watu vitendo vyao hapo hapo tutakuita good actor
Hiyo ndiyo maana halisi ya muigizaji
Kwako mkuu Heijah
Hapo ndipo wanapofail wabongo kwani baadhi yao hawana uhalisia kabisa kwenye kuigiza, hicho ndicho kilichoififiisha industry ila pongezi ziende kwa Azam tv kwani kimtindo wanajaribu kuiweka sawa industry ila wasanii wenyewe hawapo teyaliNakubaliana na wewe mfano mzuri wa Turkey kama Ertugrul unaweza kulia mbele ya watoto na wakati mwingine wanakufanya unasahau kuwa hii ni tamthilia tu na unakuwa mkali na kupanic sasa hawa ndio waigizaji. Mimi siangalii bongo movie ila nimeshawahi kutizama miaka ya nyuma sababu ilikuwa ni kitu kigeni nchini unatamani kuona tukoje lakini experiance yangu haikuwa nzuri sababu kila picha ikiendelea naanza kucheka kwa kuona hakuna uhalisia katika mambo mengi sehemu ya huzuni badala ya kulia unacheka jinsi wanavyoigiza. Kuna picha nimeona jamaa ka act mlinzi lakini unaona kabisa huyu mtu kapitia saloon apendeze kwanza nywele zinawaka na heleni kavaa, jambazi lazima avae koti kubwa na miwani yaani picha yetu wote wamepita saloon na kunyoa fresh ili aonekani mzuri wakato role yake ni kucheza mlinzi au mtu maskini ana shida kibao. Hakuna uhalisia watu wanataka kuuza sura
ku copy hakujawahi kuwa tatizo kwenye sanaa, hata wao Hollywood, Bollywood na hata European CInema wana copy kazi za wengine kuanzia story mpaka screenplay. Tatizo linakuja kutengeneza kazi mbovu.Ukiwa muangalia sinema mzuri, Nollywood wanasoma sana novels za Kizungu na kunvert scene nyingine katika mazingira ya Kiafrika. Kwakweli hata kama wana copy lakini wanaongeza manjonjo na Kiingereza chao hata Wazungu wanakielewa.
Nimemsoma huyo shabiki w kiba enzi hizo anaimba na rkelly,umemsagia kunguniKE
huo ni uzi wa huyo born town shabiki wa kiba na r kelly
Nipo katika kipindi kigumu, naomba msaada
Habari za Asubuhi Ndugu na jamaa zangu wa jf.Matumaini yangu wote Ni wazima wa afya,poleni na ugumu wa maisha Katika kipindi kigumu cha JPM.Lakini kwa upande wangu naiona Tanzania mpya inakuja. Tuache hayo nije kwenye dhumuni la andiko hili........ Ilikuwa ni mwaka 2014 nilipoanza kazi Katika...www.jamiiforums.com
Huwa nikiangalia Wild Flower na mambo yao ya ugaidi, wizi, huwa nashindwa kuamini kuwa sikweli cinema wanavyoitendea haki, na waigiza sauti wa kibongo akina nyama yao wameipatia kweli. Napenda yule mzee mtaka madaraka alivyokatili hata kwa wanaeku copy hakujawahi kuwa tatizo kwenye sanaa, hata wao Hollywood, Bollywood na hata European CInema wana copy kazi za wengine kuanzia story mpaka screenplay. Tatizo linakuja kutengeneza kazi mbovu.
Nimemsoma huyo shabiki w kiba enzi hizo anaimba na rkelly,umemsagia kunguni
Johari alikua anatoka na Ray ,wakamdhulumugu baba mmoja km 30m hivi!maana huyo baba aliingia kingi kwa johar akawa anatoka nae ,hvyo wakawa wanamzunguka mbaba alipagawa alilia km mtoto vile anaitwa MacDonald nafkiri ni mnyaki...zile pesa Johar alidanganya anaenda kuzalisha movie watagawana faida,mbaba wakampiga hawakumpa ht 100 yeye na Ray..Mkojani na vituko vyake kawafunika. Siku hizi hata Johari anaomba kumpata mme yeyote mwenye akili timamu tu amuoe ili amsitiri kachoka kudanga
Sure wengine waliingia bongo muvi kutokea somewhere leo ni mamantilieWale waigizaji wa Nollywood wengi wana shahada na uigizaji kwao ni vipaji. Hapa kwetu Bongo Movie ni mlango wa kutokea huna cheti chochote.
Siku mtandale akiyeyuka toka uso wa dunia there will no kibakuli no njomba nchumaliRay bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu
Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo
Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao
Tive ake mdananda pimp wa mademu wakali miiniVimepotea kabisa, kuna kipindi Kigosi alikuwa hatoki ndani kutokana na kupoteza kwa ukweli, aliisi labda mke ana nuksi, akamwacha akaoa mwingine mambo yakawa yale yale, tatizo alijitune sana na maisha. Bora Kitive Nyenyere yeye akikosa hela anapanda hata daladala akiwapata wenye mshiko anawachekesha kidogo wanamtilia chochote chungu jioni kinatokota.
Wewe ni juha tena juha mkubwa tu.
Alikiba kaanza kuwa star zamani sana wakati wewe upo kwenu chitohori na diamond anauza mitumba tandale huko.Kwa sisi ambao tumekulia mjini na tumeanza kusikiliza mziki kitambo hatuwezi kusema kauli za kiwaki kama hizo.
Wakati alikiba anafanya kazi na wasanii wakubwa wa Afrika na star R Kelly vipi alikuwa sio maarufu.
Ficha ujinga wako
Waliotaka kufungwa Ray na jihadi sijui kesi ilizimwa bipi. Utapeli wao Mungu kawanyooshaJohari alikua anatoka na Ray ,wakamdhulumugu baba mmoja km 30m hivi!maana huyo baba aliingia kingi kwa johar akawa anatoka nae ,hvyo wakawa wanamzunguka mbaba alipagawa alilia km mtoto vile anaitwa MacDonald nafkiri ni mnyaki...zile pesa Johar alidanganya anaenda kuzalisha movie watagawana faida,mbaba wakampiga hawakumpa ht 100 yeye na Ray..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv Dotnata yupo wapi?Wana JF
Ukisikia nyota kung'aa huwa ina msukumo wa dodoki, hii imetokea mwigizaji nguli Ray ambaye akiweka sana miaka 8 iliyopita kwa mgongo wa Kanumba, ambaye alitokea kupanda sana kutokana na juhudi zake za kukonga roho za watu kutokana na umahili wa kuigiza nyanja zote.
Msindani wake Visent Kigosi almaalufu kama King Ray, alijinasibu kuwa wana uwezo unaofanana katika uigizaji. Mara nyingi tuliona drama za kushindana hata kuonyesha magari mazuri. Kanumba yeye alijikita kwenye mapenzi na wasichana wapya wakati Ray yeye alinasa kwa majimama yenye pesa.
Namkumbuka Dotnata akiwa ni mtu mzima mama wa watoto wawili alikuwa ilimanusura waoane. Dottinata kipindi hicho anawika kwa mapishi bora ya kwenye harusi na masherehe pia na mapambo. Sikui hizi haonekani kabisa. Ray hata matangazo hawampi Richard ya kuandaa mwanae angalau aambulie ustaa bado mbichi lakini naye makosa promo baada ya Ray kutengana na mke wake.
Hata mimi nimejiuliza swali hili. Aliwika sana huyu mamaHv Dotnata yupo wapi?
[emoji3][emoji3]Ray bana hadi blog akaanzisha ili mradi aonekane mwamba kama kanumba. Kifo cha kanumba ni pigo kali kwa ray na vidada alivyovivumbua,vimebakia na umaarufu wa insta tu
Huu ni mfano Domo vs kiba& harmo
Kiba na harmo wamuombee domokaya maisha marefu maana ndie aliyebeba umaarufu wao