Nilichomaanisha kuhusu wakenya nikumkubari the great nasiyo wao kuigiza vzuri, Mkuu light Kanumba angekuwepo Hadi Leo hii industry ingekuwa kubwa Sana na baadhi ya makampuni ya distribution yacnge kufa ila baada ya jamaa kufa na hayo makampuni yalizima sasa huoni umuhimu na uwepo wa jamaa.
Tunampima mtu kuwa ni muigizaji mzuri nipale anapoamua kuuvaa uhalisia, yaani kama unaigiza unalia tuone huyu jamaa analia kweli au unaigiza nikichaa basi tuone unafanya vitendo vya kichaa kweli
Hatumpimi mtu kwa kutumia bunduki au bastora vizuri ndiyo tuamoni ni good octor hapana Bali vitendo vya yule unaemuigiza kama ni chizi, muhuni, mpole, mcheshi,jambazi, mchungaji au shekh ukiwapatia hao watu vitendo vyao hapo hapo tutakuita good actor
Hiyo ndiyo maana halisi ya muigizaji
Kwako mkuu
Heijah