Umegusa penyewe mkuuIn 30 min hatuna update yoyote ya maana. Kweli sisi media kwetu bado tupo nyuma sana.
Hii habar nilitarajia coverage yake iwe ipo vizuri humu..au ndio members nao wameamua kukimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje mkuuWaambiwe waajemi wasituchezee.
Au Wanadhani Kigamboni ni moja ya kambi za Us army
Uko sahihi nami nimeona moshi huku Igunga ni wazi ilikuwa ni shehena nyingi sana.Nipo morogoro naona moshi tu agani, itakuwa ndio hilo tukio