PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hahahaha 😆 😆 😆 😆 😆Sasa wakuu tutafanyaje maana bila ya kukata kasehemu karibu na side mirror usiku hatuoni. Mimi usiku kwenye junction inabidi nishushe kioo ndio nione kabla ya kukata kona. Au kurudi nyuma inabidi vioo vyote vishushwe kwanza.
Hiyo Hali nimeteseka nayo Sana kwenye rumion, ukikunja round about unashusha vioo na ukitaka kuovertake lazima ushushe vioo na mwisho wa siku nilikuwa nashusha Tu vioo muda wa usiku ili nisipate ajali..