Je, hiyo sera ya kubambikizia watu Kodi za kupika, na kubambikizia kesi feki kwa raia wasio na hatia, zimenakiliwa toka Singapore?...Lakini kikubwa ambacho Rais Dkt. Magufuli amekipania sana kipindi hiki ni kujenga mazingira mazuri ya kuvutia mitaji ya ndani na nje. Inabidi kupitia upya tena kwa kuchukua mfano wa Singapore sera za kodi, sheria na sera za kazi, sera za ardhi, sera za fedha, sheria za utatuzi wa migogoro, sera za biashara kwa ujumla nk.
Nimempa same advice, except wewe umempa na hint kwamba foreign investors wamesaidia sana ku transform hiyo nchi. Nimemwambia wakasome vitabu wapate maarifa sio kubwabwaja...Dangote anafunga kiwanda kilichotoa direct and indirect employment worth thousands, leo anafunga kiwanda, boda na ndoto zake za abunuwasi anafikili we are the next Singapore, haya mambo akawambie darasa la 7 wenzakeNikufundishe kidogo mkuu. Singapore imefika ilipo kutokana na wawekezaji kutoka nje. Jitahidi kusoma na kufanya research!
Tena tumekwama vibaya sana...sioni namna ya kujinasua.Nchi hii bado ina wajinga wengi na ndio wanaotutawala don't expect anything ndugu kama Taifa tumekwama!
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
We've serious problem kama taifa!! Mbaya zaidi, vijana ambao ungetarajia wawe chachu ya kupigania taifa lao ndo hao hao wamekuwa walamba viatu wakubwa!!Nchi hii bado ina wajinga wengi na ndio wanaotutawala don't expect anything ndugu kama Taifa tumekwama!
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Shida sana kwakweli!Tena tumekwama vibaya sana...sioni namna ya kujinasua.
Mambumbumbu watakupiga madongo lakini mie naunga mkono hoja tena mara 100.Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo. Miaka ya mwanzo ya 70 walikuwa na GDP per capita $320. Sisi leo GDP per capita ni $930. Leo Singapore wana zaidi ya $60,000.
Kama Rais Dkt. Magufuli anavyofanya, walianza na elimu ya bure na kuwekeza sana kwenye vyuo vya ufundi. Wakahakikisha wanapata wataalan wa kutosha. Waliekeza sana kwenye miundombinu ya umeme, mabarabara, bandari, viwanja vya ndege, technologia ya mawasiliano etc, walichochea sekta kama za utalii na huduma nyingine. Waliekeza sana kwenye afya hadi kuvutia medical tourism. Walipambana na rushwa na kutoa adhabu kali sana hasa death penalty kwa wahujumu uchumi.
Wali sacrifice bla bla za kisiasa na ku focus kwenye maendeleo. Mwandishi mmoja anasema:-
"Singapore's model of sacrificing freedom for business is highly controversial and heavily debated. Regardless of philosophy, though, its effectiveness is undeniable."
Lakini kikubwa ambacho Rais Dkt. Magufuli amekipania sana kipindi hiki ni kujenga mazingira mazuri ya kuvutia mitaji ya ndani na nje. Inabidi kupitia upya tena kwa kuchukua mfano wa Singapore sera za kodi, sheria na sera za kazi, sera za ardhi, sera za fedha, sheria za utatuzi wa migogoro, sera za biashara kwa ujumla nk.
Tukifanikiwa hapo Tanzania ni 'a new Singapore in the making.'
Tumuunge mkono JPM na wale ambao wamepewa majukumu ya kumshauri na kumsaidia wajaribu kujielimisha sana na kuweka pembeni maslahi binafsi.
Ni rahisi kusema kuliko kutenda!Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo. Miaka ya mwanzo ya 70 walikuwa na GDP per capita $320. Sisi leo GDP per capita ni $930. Leo Singapore wana zaidi ya $60,000.
Kama Rais Dkt. Magufuli anavyofanya, walianza na elimu ya bure na kuwekeza sana kwenye vyuo vya ufundi. Wakahakikisha wanapata wataalan wa kutosha. Waliekeza sana kwenye miundombinu ya umeme, mabarabara, bandari, viwanja vya ndege, technologia ya mawasiliano etc, walichochea sekta kama za utalii na huduma nyingine. Waliekeza sana kwenye afya hadi kuvutia medical tourism. Walipambana na rushwa na kutoa adhabu kali sana hasa death penalty kwa wahujumu uchumi.
Wali sacrifice bla bla za kisiasa na ku focus kwenye maendeleo. Mwandishi mmoja anasema:-
"Singapore's model of sacrificing freedom for business is highly controversial and heavily debated. Regardless of philosophy, though, its effectiveness is undeniable."
Lakini kikubwa ambacho Rais Dkt. Magufuli amekipania sana kipindi hiki ni kujenga mazingira mazuri ya kuvutia mitaji ya ndani na nje. Inabidi kupitia upya tena kwa kuchukua mfano wa Singapore sera za kodi, sheria na sera za kazi, sera za ardhi, sera za fedha, sheria za utatuzi wa migogoro, sera za biashara kwa ujumla nk.
Tukifanikiwa hapo Tanzania ni 'a new Singapore in the making.'
Tumuunge mkono JPM na wale ambao wamepewa majukumu ya kumshauri na kumsaidia wajaribu kujielimisha sana na kuweka pembeni maslahi binafsi.
Ethiopia siyo ndege tu wana miundo mbinu ya kufa mtu mabarabara ,SGR ,etc lakini wananchi choka mbaya.....ndiyo Role model yetu....ishu ya Singapore walianza kwanza kuweka sawa sera , katiba , road map, mipango mikakati ya muda mrefu nk .... na ilikuwa siyo one man show mkuu....we niambie kwa sasa unadhani nchi itakuwa wapi ndani ya miaka kumi ijayoHiyo nchi unayosema ,kwanza mahakama zilikuwa huru hivyo kumfunga yeyote awe Rais au kinyago yeyote, Bunge lilikuwa huru kuisimamia serikali, Vyama vya wafanyakazi vilikuwa huru kufanya mipango yao, Demokrasia ilikuwa inawaka kweli kweli lakini Tanzania ni kinyume chake yaani mtu mmoja ndio anaamua kila kitu.
Jana kituo kimoja cha habari kinaripoti kuwa kuna wahamiaji Haram kutoka Ethiopia wameingia nchini huko kwao kuna maisha magumu sasa nikajiuliza mbona hawa wanandege za kusafiri kama elfu kumi hivi na maisha yao ni dhaifu sana ili hali huku kwetu tunaambiwa ukiwa na ndege maisha yanakuwa mazuri sana?
Bado sikupata Majibu !Jana pia bwana Jafo anasema kuna wanafunzi wamefaulu lakini hawataweza shuleni kwa wakati hivi waziri ameshindwa kujua kwa miaka miwili iliyopita kwamba idadi ya wanafunzi itakuwa kubwa au ndogo?Halafu mtoa mada unasema unafanya kama Singapore!!Hivi ni vichekesho yaani maajabu yanaendelea.
Muwe na akili hata kidogo basi na muwe mnasoma hata vitabu..na hao viongozi kama mko nao karibu advice them wasome vitabu...there's no way we'll make it and become the next Singapore kwa akili za sasa, za wakina dangote kufunga viwanda? Watu kufilisika? Money circulation kupungua kiasi hiki? Watu kupunguziwa mishahara kwenye tv?
Anyways kasomeni, am glad nimesoma vitabu vingi jinsi Singapore and other tiger countries walifanyaje kuwa hapo...sitaki kusema sana, ila nakuachia home work, ukiweza nitakuja kukujibu kwa undani kwann what we are doing is not even close to what Singapore did to advance economically and scientifically: Rais wako anasema tuzaliane sana tukuze uchumi: Swali kuna economic theories zipi zinasema kuna correlation ya ongezeko la watu na ukuaji wa uchumi? 😂😂😂
Ukiweza nijibu, ukishindwa nataka kukuachia huu ujumbe: Countries are transformed by extremely intelligent people and i don't see any form of intelligence in our leaders...all i see is leaders with no vision and probably don't know what they are doing, na wanavyokopa hivyo na deni la taifa lilipofikia sitashangaa wakisema nchi imefilisika.
Hawajui global economy inaendaje...most of these cronies commenting as a praise team hardly know anything about the global economy...waache wakope watajikuta hadi Lumumba inadaiwa...sioni hata strategies za kulipa deni la taifa kama biashara na viwanda vinakufa kila siku.Wanakopa toka nchi za nje kama hawana akili nzuri; wanajiliwaza eti hata Marekani wanakopa hivyo isiwe taabu, lakini hawajui kuwa Marekani wakitaka kulipa madeni yao wanachapisha $$$ tu na nyinyi mkitaka kulipa nani atakubali madafu yenu mtakayochapisha?
Hawajui global economy inaendaje...most of these cronies commenting as a praise team hardly know anything about the global economy...waache wakope watajikuta hadi Lumumba inadaiwa...sioni hata strategies za kulipa deni la taifa kama biashara na viwanda vinakufa kila siku.