Visit Saudia vs Visit Rwanda

Visit Saudia vs Visit Rwanda

Simba inaangalia biashara pia itaingiza sh ngapi, kuandika VISIT TANZANIA walikuwa hawalipwi ni hisani tu, na walikuwa wanaandika kwenye kifua cha jezi kwasababu ya hatua walizofikia maana CAF hairuhusu jezi zenye udhamini wa makampuni ya kubet maana wao wana 1XBET, Simba kuona hivo kuliko kifuani pakae tu wakaweka VISIT TANZANIA, Je sasa watangaze bure?huo ni uamuzi wao, serikali ndo inapaswa waweke dau kwa ajili ya matangazo
 
Hivi unadhani SIMBA Ndio anaamua nani adhamini mashindano haya? Hao ulioeaona wameingia mkataba na mwenye mashindano kwa maana ya CAF na siyo SIMBA!

Kule wenye akili ni wawili tu
 
Tuliona dharau zinazidi. Simba ilijitolea kulitangaza taifa kupitia VISIT TANZANIA ila ikawa haipewi shukrani wala heshima inayostahili media plus serikali ya nchi husika. Cha ajabu Vyura wakawa wanapewa promo hadi kualikwa Ikulu.

Sasa tunasema hivi: Wizara ya Utalii iwaambie Uto waweke bango la Visit Tanzania kwenye jezi zao. Waende wakale kule serikali ilikuwa inapeleka mboga. Shwaini!
 
Kagame akili nyingi ya kuona fursa.

ukiona neno"visit Rwanda"kwenye jezi ya Psg,kwenye mabango ya uwanja wa Arsenal au michuano ya AFL ujue ni hela,Kagame kaweka hela sio maneno.

Simba alikua akifanya hivi lakini nchi yenu inaongozwa na watu wenye akili ndogo sio kama Kagame akili nyingi.
 
Ni maajabu, ama kweli ni maajabu ya 8 ya Dunia hii, na maajabu hayo si mengine bali ni maajabu yanayofanywa na timu ya wazee na vikongwe ya Simba Sports Club na uongozi wake.

Wameleta ubahili wao na Bodi nzima ya Mpira wa Tanzania wameshindwa kulitangaza taifa kabla ya michuano mpaka hitimisho la hapo kesho, walikuwa kimya! Sasa shujaa Kagame kaingia mzima mzima dadeki, Visit Rwanda kwenye ardhi ya mwenyeji na mwenyeji kabaki kutoa macho!

Simba ni kikundi fulani cha wachawi wachawi kikiundwa na vilaza na bimburukenge vya Magomeni Mapipa. Muwe na aibu, mashindano makubwa yanapita na hamna mlicholifanyia taifa kazi kuzurura Vingunguti na Buza kuuza kofia.

Endeleeni na ukenge wenu ila kwenye mahojiano tumeiona Visit Saudia na Visit Rwanda, sana sana tumemuona Bocco na Robatinho wa izii notiii iiizeeeeeee.

Simba uwepo wake tu inatosha kuitangaza Tz. Usiwalaumu wao, tff na wizara ilipaswa iitumie Simba. Hatuna baya sie, mbet & mo wanatosha.
 
Simba inaangalia biashara pia itaingiza sh ngapi, kuandika VISIT TANZANIA walikuwa hawalipwi ni hisani tu, na walikuwa wanaandika kwenye kifua cha jezi kwasababu ya hatua walizofikia maana CAF hairuhusu jezi zenye udhamini wa makampuni ya kubet maana wao wana 1XBET, Simba kuona hivo kuliko kifuani pakae tu wakaweka VISIT TANZANIA, Je sasa watangaze bure?huo ni uamuzi wao, serikali ndo inapaswa waweke dau kwa ajili ya matangazo
Ok
 
Kagame akili nyingi ya kuona fursa.

ukiona neno"visit Rwanda"kwenye jezi ya Psg,kwenye mabango ya uwanja wa Arsenal au michuano ya AFL ujue ni hela,Kagame kaweka hela sio maneno.

Simba alikua akifanya hivi lakini nchi yenu inaongozwa na watu wenye akili ndogo sio kama Kagame akili nyingi.
Nyie watanzania ujuaji mwingi
 
Tuwe na shukrani , miaka yote Simba inajitolea kuitangaza Tanzania kupitia Visit Tanzania, Bure kabisa haipewi hata shilingi.
 
Tuliona dharau zinazidi. Simba ilijitolea kulitangaza taifa kupitia VISIT TANZANIA ila ikawa haipewi shukrani wala heshima inayostahili media plus serikali ya nchi husika. Cha ajabu Vyura wakawa wanapewa promo hadi kualikwa Ikulu.

Sasa tunasema hivi: Wizara ya Utalii iwaambie Uto waweke bango la Visit Tanzania kwenye jezi zao. Waende wakale kule serikali ilikuwa inapeleka mboga. Shwaini!
Yanga waliweka VISIT ZANZIBAR msimu uliopita
 
Back
Top Bottom