SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wiki hii ni chungu sana kwa gongowazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifupi wote ni mizigoBadala ya kuwalaumu TTB unawalaumu Simba! Hapo TTB na Wizara nzima ya Utalii ndio wamechemka.
VISIT TANZANIA IKO WAPI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
CHOMOA DUDEE NAONA UNAHAMISHAHAMISHA SHIMO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ningekushauri
1. Ujifunze kuandika.
2. Ujifunze kupangilia hoja.
3. Ujifunze kuwasilisha Hoja.
PUNGUZA MIHEMUKO MWANAUME WEWE.....
Badala ya kuwalaumu TTB unawalaumu Simba! Hapo TTB na Wizara nzima ya Utalii ndio wamechemka.
CHOMOA DUDEE NAONA UNAHAMISHAHAMISHA SHIMO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umemaliza bossView attachment 2786343
Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.
Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu na hawajaenda shule.
Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA
Ama Kweli!!!!
sasa ndio naamini kwa 1000%
Ni maajabu, ama kweli ni maajabu ya 8 ya Dunia hii, na maajabu hayo si mengine bali ni maajabu yanayofanywa na timu ya wazee na vikongwe ya Simba Sports Club na uongozi wake.
Wameleta ubahili wao na Bodi nzima ya Mpira wa Tanzania wameshindwa kulitangaza taifa kabla ya michuano mpaka hitimisho la hapo kesho, walikuwa kimya! Sasa shujaa Kagame kaingia mzima mzima dadeki, Visit Rwanda kwenye ardhi ya mwenyeji na mwenyeji kabaki kutoa macho!
Simba ni kikundi fulani cha wachawi wachawi kikiundwa na vilaza na bimburukenge vya Magomeni Mapipa. Muwe na aibu, mashindano makubwa yanapita na hamna mlicholifanyia taifa kazi kuzurura Vingunguti na Buza kuuza kofia.
Endeleeni na ukenge wenu ila kwenye mahojiano tumeiona Visit Saudia na Visit Rwanda, sana sana tumemuona Bocco na Robatinho wa izii notiii iiizeeeeeee.
OkSimba inaangalia biashara pia itaingiza sh ngapi, kuandika VISIT TANZANIA walikuwa hawalipwi ni hisani tu, na walikuwa wanaandika kwenye kifua cha jezi kwasababu ya hatua walizofikia maana CAF hairuhusu jezi zenye udhamini wa makampuni ya kubet maana wao wana 1XBET, Simba kuona hivo kuliko kifuani pakae tu wakaweka VISIT TANZANIA, Je sasa watangaze bure?huo ni uamuzi wao, serikali ndo inapaswa waweke dau kwa ajili ya matangazo
Nyie watanzania ujuaji mwingiKagame akili nyingi ya kuona fursa.
ukiona neno"visit Rwanda"kwenye jezi ya Psg,kwenye mabango ya uwanja wa Arsenal au michuano ya AFL ujue ni hela,Kagame kaweka hela sio maneno.
Simba alikua akifanya hivi lakini nchi yenu inaongozwa na watu wenye akili ndogo sio kama Kagame akili nyingi.
Unaonaje mvae nyie Utopolo mkija kutushangilia?visit tanzania mmeipeleka wapi??
Yanga waliweka VISIT ZANZIBAR msimu uliopitaTuliona dharau zinazidi. Simba ilijitolea kulitangaza taifa kupitia VISIT TANZANIA ila ikawa haipewi shukrani wala heshima inayostahili media plus serikali ya nchi husika. Cha ajabu Vyura wakawa wanapewa promo hadi kualikwa Ikulu.
Sasa tunasema hivi: Wizara ya Utalii iwaambie Uto waweke bango la Visit Tanzania kwenye jezi zao. Waende wakale kule serikali ilikuwa inapeleka mboga. Shwaini!
Ujuaji mwingi wa kishamba.Nyie watanzania ujuaji mwingi