Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Mbona uwanja una makato makubwa sana? Wanashindwaje vitu vidogo?Ndio ndivyo nilivyosikia. Wamejitolea kizalendo.
Lakini leo Simba atatoa Mil4 mechi na Azam kea ajili ya uwanja wa taifa lakini wao hata kununua vifaa vya chuoni na kurekebisha masink hawawezi. Uwanja gani Umeme wa Mawazo? Ivi Treni Ya Umeme tutaweza kweli Kama taa600 za uwanja wa taifa zinatushinda kucontrol? Taa tu?
Aliyekutatua marinda kakuweza kweli kweliWewe unatom, wa ukiwa wapi mbwakoko?
Naona kigololi kimekushuka dada mkubwaAisee!! Visit kidimbwi, kidimbwi mnaenda lini?
Umeandika upuuzi mtupu.Ni suala la uzalendo na zuri kutangaza nchi ya Tanzania nje ya Tanzania. Timu ya Simba inapaswa kupewa heko kwa Hilo.
Simba itapata kutembelea nchi za Sudan, Misri na Kongo. Nchi hizi za kiafrika Zina ukaribu mkubwa na Tanzania isipokuwa Sudan. Hivyo wasudan watakumbuka kuwa Kuna nchi inaitwa Tanzania.
Jambo linalonitatiza ni kuingiza dili hilo bure kabisa. Hii sio nzuri, Simba ilipaswa kupata chochote. Angalau kingesaidia kuwapa motisha wachezaji Kama hela isingetumiwa na Simba SC. Kama ni uzalendo basi wangepunguza walau hata mil 200.ili iwasaidie hata kwa kulipia hotel.
Kwa sababu klabu ya Simba ni mali ya Mo Dewji Ndio maana sio ajabu wanafanya haya. Ni kama Man City ya Sheikh Mansoor
Sidhani kama Man City kuingiza dili na Etihad inamaana Mansoor sio mzalendo Bali Ile ni biashara.Tunaposema mpira ni biashara,hii ilikuwa fursa ya kupata kuingiza mapato.
Mwenyekiti wa Simba ajaye anapaswa asiwe mtu wa kuburuzwa. Anapaswa awe ndiye msimamizi wa madili kama haya Ili Simba ya wanachama iwe na chochote.Yamkini Mo akawa Hana shida na hela hizo, ila Simba ya wanachama ambayo inasemekana Ina hisa 51% ambayo kwa Hakika ni asilimia hewa. Hizi Ndio pesa ambazo Simba ilipaswa kuwa nazo.
Leo Barbra ameingia huo mkataba kwa BARAKA za kaimu mwenyekiti au kwa BARAKA za Mwenyekiti wa Bodi? Narudia tena hili dili Halina maslahi kwa Simba. Ilipaswa mwenye hisa 51% Ndio awe na sauti. Sasa swali ni kuwa Barbra yuko kwa maslahi ya Simba ya Mo au Simba SC?
Sijaandika kwa nia mbaya au kuwa Simba wamekosea Ila nahisi serikali ilipaswa ichangie.simba inatumia uwanja wa taifa mechi moja ni Mil.4 na unatoa kabla ya mechi.Basi Simba nao wangepewa kutumia uwanja huu bure kwa mechi za nyumbani za CAF champions ligi Kama fadhila.
Kuchangiwa kwa hoja karibu
Umemaliza kila kitu. Ile nafasi ina wenyewe (sportpesa) huu mkataba ni wa muda tu (katika champions league) so isingeleta picha nzuri kupiga deal juu ya deal nadhani hata sportpesa wasingeridhia maana wana haki kisheria so busara kati wa wadhamini na uongozi wa simba imetumika kuamua kuitangaza nchi bila malipo (kwa malipo ya sportpesa)Hiki ni kipindi cha transion tu, na pia lazima utafute mzamini ambaye hatoletewa kinyingo na sportpesa, kwa sababu sportpesa anamaamuzi ya hiyo nafasi kuliko simba, kimsingi hiyo nafasi imeshalipiwa na sportpesa hata kama imeondolewa logo yao.
Ni vyema hiyo nafasi tumeitumia kizalendo kuliko ilivyokuwa plain kama mwaka juzi. Kibiashara unajiuliza ingeleta picha gani kwa sportpesa waliotoa mabilioni kama simba ingewatafuta letsay vodacom?
Wakati mkataba wa sportpesa bado una run? Hayo ni mawazo yangu binafsi, yanaweza yakakosa uharisia pia.
Mwehu kabisa wewe! Visti Tanzania ilishatumiwa na nchi gani!!??? Visit Rwanda ni sawa na Visit Tanzania!!?? Kama ndivyo basi Rwanda wametuiga maana tumewahi kuidhamini Sunderland Fc ya England na kwenye jersey zao kulikuwa na maneno visit Tanzania.Hakuna ubunifu wowote, ujinga na utaahira tu, wagekuwa wabunifu wangetafuta maneno yanayo-deliver the same message lakini ambayo hayajatumiwa na nchi au mtu yoyote. Poor simba
Sio kwamba nimeandika upuuzi, watu wengi wamechangia wazo hili kwa hoja, Ila kwa kuwa wewe Ni tabulalasa Ndio maana hujaambulia kitu. Soma dogo acha porojo, mpira hauko hivyo.kama huelewi tuliza mshono ,wanaoelewa watachangiaUmeandika upuuzi mtupu.
Tatizo unakuja kasi Sana, kwani ukjibu hoja Kama ulivyomjibu mwenzio hapo juu unaefanana nae msimamo Kuna shida gani? Usipanic kaka. Mila Jambo sio lazima tufanane Mawazo Ndio maana kupitia nyuzi Kama hizi hata wale wasiojua wanajua. Sisi wengine ni ni wepesi kuelewa pale tulipokwama.Mwehu kabisa wewe! Visti Tanzania ilishatumiwa na nchi gani!!??? Visit Rwanda ni sawa na Visit Tanzania!!?? Kama ndivyo basi Rwanda wametuiga maana tumewahi kuidhamini Sunderland Fc ya England na kwenye jersey zao kulikuwa na maneno visit Tanzania.
Unanifatilia sana mzee nimekukosea nini!!??? Umeona alichoandika niliyemjibu?Tatizo unakuja kasi Sana, kwani ukjibu hoja Kama ulivyomjibu mwenzio hapo juu unaefanana nae msimamo Kuna shida gani? Usipanic kaka. Mila Jambo sio lazima tufanane Mawazo Ndio maana kupitia nyuzi Kama hizi hata wale wasiojua wanajua. Sisi wengine ni ni wepesi kuelewa pale tulipokwama.
Ndo ijifunze kujibu kwa staha hata unaotofautiana Mawazo. Mwenzio unamjibu vizuri kea kuwa Mawazo ni sawa, Ila unaepishana nae Mawazo unafoka. Ila sio mbaya ni kawaida kwenye michezoUnanifatilia sana mzee nimekukosea nini!!??? Umeona alichoandika niliyemjibu?
Ebu taja hata neno moja ambalo halijawahi kutumiwa na nchi nyingine au na mtu yoyote? Hivi ukiwa utopolo ndio unakuwa na mawazo kama haya! YaaniHakuna ubunifu wowote, ujinga na utaahira tu, wagekuwa wabunifu wangetafuta maneno yanayo-deliver the same message lakini ambayo hayajatumiwa na nchi au mtu yoyote. Poor simba
Na wewe ni mali ya mumeoSimba ni Mali ya mo,hapo cjaelewa
Simba ni timu ya kuigwa kwa Africa mashaliki wanaubunifu wa kipekehe