"Visit Tanzania" ya Simba SC ni nzuri lakini...

"Visit Tanzania" ya Simba SC ni nzuri lakini...

Ndio maana huu mfumo una Mashaka, huwezi kuwa na hisa 49% unafanya maamuzi ya klabu. Wenye hisa 51 ambaye ni mwenyekiti wa Simba sc ya wanachama ndiye anapaswa kuwa na nguvu kubwa kuliko wenye hisa chache ambayo ni Mo group. Japo wanapaswa kufanya majukumu kwa pamoja.
Sasa kama haujui kuwa hizo 51% zimegawanyika unapata wapi mandate ya kuongelea hili?
 
Back
Top Bottom