Ndio maana huu mfumo una Mashaka, huwezi kuwa na hisa 49% unafanya maamuzi ya klabu. Wenye hisa 51 ambaye ni mwenyekiti wa Simba sc ya wanachama ndiye anapaswa kuwa na nguvu kubwa kuliko wenye hisa chache ambayo ni Mo group. Japo wanapaswa kufanya majukumu kwa pamoja.