Vita ambavyo China imewahi kushiriki

Vita ambavyo China imewahi kushiriki

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
442
Reaction score
729
Habari zenu wakuu!

Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika nyanja za vita.

Karibuni sana tuelimike wote!
 
Habari zenu wakuu! Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika nyanja za vita. Karibuni sana tuelimike wote!
Vita ya pili ya Dunia,vita ya wenyewe kwa wenyewe 1946-1949,vita ya Korea 1950-1953.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Vita maarufu ..nichina na wa Japen
Hadi wametoa ma movie kibao
 
Taifa la Uchina lina miaka zaidi ya 4000, hivyo ni moja kati ya mataifa makongwe kabisa duniani. Katika kipindi chote hichi, limepitia mambo mengi sana: Mfano, liliwahi kuwa dola kubwa na tajiri zaidi duniani katika vipindi vitatu tofauti. Historia inasema kwamba Uchina ni jamii ambayo iko kijeshi sana (Highly Militaristic). Mtaalamu wa vita duniani, ambaye anasomwa zaidi na mpaka leo, Sun-Tzu alikuwa ni mchina, ambaye aliishi miaka zaidi ya 2400 iliyopita.

Sasa kiufupi, katika historia yake, kuna kipindi Uchina liliwahi kuwa taifa lenye nguvu mno kijeshi na kuna kipindi lilikuwa taifa dhaifu mno kijeshi. Baadhi ya vita kubwa lilizowahi kupigana ni hizi:
  1. Uchina dhidi ya Korea : 109-108 B.C
  2. Uchina dhidi ya Ugiriki : 104 B.C
  3. Uchina dhidi ya Waislamu (The Abbasid Caliphate) : 751 A.D
  4. Uchina dhidi ya Mongolia : 13th Century
  5. Uchina dhidi ya Uingereza: 1839-1860
  6. Uchina dhidi ya Urusi: 1639-1643
Nitaendelea nikipata muda.....
 
Shusha nondo mwamba
 
Asante mkuu, tunaendelea kusubiri nondo zaidi
 
Back
Top Bottom