Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ni ya mtu binafsi kuishi,kuna watu Duniani leo hii wanatamani kushikiria uhai wa wengine kwa tamaa na maslahi binafsi.Huo ndiyo mtihani mgumu kuufanya. Kuna nchi nasikia watu wamekufa mwa kuganda damu. Lakini UNICEF hawajathibitisha hilo. Nani aseme ukweli?
THIS IS LEADERSHIP! KIONGOZI UNATAKIWA KUONESHA NJIA NA SIO KUWAPOTEZA WANANCHI WAKO. VIVA KAGAME.Wakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea.
Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake nao kupata hiyo chanjo.
Hongereni sana ndugu zetu Wanyarwanda kwa kupata kiongozi wa kujivunia.
View attachment 1722935
Yani umeandika moyo ukiwa unakuuma lakin ufanyaje sasa wakati unalipwa buku7 kusifia!!Tanzania tunajivunia Rais wetu pia sana.
Kwani chanjo iko moja mkuu?
Mkuu tumezaliwa ili tuishi, tuzaliane na mwisho ni kifo.Sisi tupo tutawaimbia mpeleke mpeleeke
Hao ndio binadam!Mnayumba yumba sana,Kagame uyu uyu leo mnamwita kiongozi wa kujivunia ukifika uchaguzi mnamwita Rais wa hovyo.
Wakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea.
Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake nao kupata hiyo chanjo.
Hongereni sana ndugu zetu Wanyarwanda kwa kupata kiongozi
Imeandikwa :Watu wangu wanaangamia kwa kukosaWakati dunia ikapambana na janga la Corona mambo mengi yanatokea.
Rais Paul Kagame wa Rwanda amekuwa kiongozi wa ukweli baada ya kujitikeza kupata chanjo ya corona ili kuwapa imani wananchi wake nao kupata hiyo chanjo.
Hongereni sana ndugu zetu Wanyarwanda kwa kupata kiongozi wa kujivunia.
View attachment 1722935
Wasaliti ni wengiKagaMe hata wewe umenisaliti[emoji55][emoji55][emoji55]
Kwahiyo kwasababu hao AstraZeneca imeleta madhara basi tukae tusitafute mbadala wa kinga tujikoe. Kweli viazi mmejaa tele nchi hii.
Unajivunia, usinihusishe mbwa ww.Tanzania tunajivunia Rais wetu pia sana.
Hapa ni chanjo hii lkn sio chanjo zote