Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
- Thread starter
- #41
Kuna watu wananuna wakiona hizi pichaImeandikwa: Watu wangu wanaangamia kwa kukosa.
Dunia ya Mungu na Mzungu aisee! We nani kupinga? Waendesha bodaboda,wafanyakazi kwenye Mahotel hadi waendesha baiskeli wamepatiwa chanjo.ongela sana Mzee [emoji106]the visionary leader!