Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...







hana lolote huyu..........
 
lengo la kuwakamata lilikua ni kuwataja mapapa wanaowauzia pamoja na mtandao mzima.. sasa tunasubiri kutajiwa majina yao... lasivyo lengo la kuwahoji ni nn?..
 
hili ni ombi kwa raisi wangu wa nchi ya Tanzania,ajaribu kuteua kwa mara nyingi waziri wa mambo ya ndani awe Mh.Paul Makonda,hii tunaona kwa jitihada zake katika kupambana na kufuatilia sakata la madawa ya kulevya,hii itapelekea atafanya ata usala wa raia katika mitaa kuwa mzuri
 
Bado sinema inaendelea [emoji23][emoji23] kwa hali ilivyo hata Chid Benz akiteuliwa kua RC hapa Dar hawezi kushindwa kutuongoza maana ni kuandaa safari za kutosha tu kwenda Clouds Media kitu ambacho Chid Benz anakimudu vizuri.
 
Jamani habari zenu

Mnaweza kumsikiliza mkuu wa mkoa katika clouds fm
 
mmh..ngoja tuendelee kucheck hii series ya Wema Sepetu is in Prison and the Rise of Makonda
 
Mimi najua mhalifu yoyote akikamatwa na kukiri kosa mara zote huahidi kuwa mtu mwema ama kutokurudia kosa lakini akishaachiwa tu anatukana kimoyo moyo, na kwenda kuendeleza uhalifu wake.
Sina maana ya kwa jamaa wametukana wala wataendelea na mihadarati ila nachojiuliza kwa nini wasipigwe tu shaba wakaondoka kama wamekiri kuingiza ama kula unga?
Wamekiri kwa vinywa vyao, sasa ushahidi gani tunataka zaidi ya huu?
 
kama lengo ni hili kulikuwa na haja gani
lengo la kuwakamata lilikua ni kuwataja mapapa wanaowauzia pamoja na mtandao mzima.. sasa tunasubiri kutajiwa majina yao... lasivyo lengo la kuwahoji ni nn?..
ya kuwalaza watu sero?????
 
Kasema kuna watu wengine anataka kuonana nao ijumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…