Ndera
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 653
- 548
Ahsante mkuu
imesaidia hata cc wanyonge tunamsikiliza kupitia radio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuu
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.
Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Clouds Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.
Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...
Tega usikie....(Stay Tuned)
Ngoja tuendelee kufuatiliaBora huyo aliyekiri kabisa
nipo fuuulu kabisanipo shost wangu miss u big tyme!
Sidhani kama teja anaweza kukubaliana na makonda aka Duterte.Yan ananiuz huyu mtu Sana, Hana la maana kabisa anatafuta umaarufu Tu kwenye media
ya kuwalaza watu sero?????lengo la kuwakamata lilikua ni kuwataja mapapa wanaowauzia pamoja na mtandao mzima.. sasa tunasubiri kutajiwa majina yao... lasivyo lengo la kuwahoji ni nn?..
jamani haya mambo haya hebu tuangalie sanaLabda atafafanua pia ile hoja ya Jose Msukuma jana bungeni kuwa ameepataje utajiri mkubwa alionao ndani ya miaka 3 tu
Sidhani kama atadiriki, atathubutu, atajaribu, ataweza kuwataja!Ametaja mapapa?