Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Mheshimiwa Aikaeli Mbowe (MB) Nimesikia akitajwa kuhusu dawa za kulevya......anatakiwa na makonda Ijumaa........hii sasa kali.
 
I wouldn't go to the media kama kweli mimi ni kiongozi na nimeshafikishiwa majina ya watumia madawa ya kulevya. Kwenda kutaja majina kwenye media maana yake nini??? Kwani tunapambana na dawa za kulevya kupitia media? Kama ingekuwa ni hivyo basi hata lisingekuwa tatizo maana media zimeshaandika sana kuhusu tatizo hili. Thinking outside the box ni muhimu sana...
Acha kulialia
 
Tunajua mmeshikwa pabaya
Hii ndio kazi yenu
Sasa Makonda hafanyi kumfurahisha mwanadamu kamwe
 
Waliotajwa wengine ni;

Mbowe, Gwajima, yusuph manji, hussein pamba kali, idd azan, Machapta
 
hili ni ombi kwa raisi wangu wa nchi ya Tanzania,ajaribu kuteua kwa mara nyingi waziri wa mambo ya ndani awe Mh.Paul Makonda,hii tunaona kwa jitihada zake katika kupambana na kufuatilia sakata la madawa ya kulevya,hii itapelekea atafanya ata usala wa raia katika mitaa kuwa mzuri
Seriously[emoji24] [emoji56]
 
Kawataja wengi akiwemu aliekua mbunge wa kinondoni, gwajima, hussein pamba, mbowe na wengine wengi.
 
I wouldn't go to the media kama kweli mimi ni kiongozi na nimeshafikishiwa majina ya watumia madawa ya kulevya. Kwenda kutaja majina kwenye media maana yake nini??? Kwani tunapambana na dawa za kulevya kupitia media? Kama ingekuwa ni hivyo basi hata lisingekuwa tatizo maana media zimeshaandika sana kuhusu tatizo hili. Thinking outside the box ni muhimu sana...

kaishataja, hao wahusika wakamshtaki
 
Back
Top Bottom