Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali naomba kumjua Mmiliki wa sea cliff.. kuna haja gani ya kuficha jina lake??Mwenyewe anajijua.
Kwa nini?Ningeshangaa kama asingemtaja mbowe
NKupitia Clouds TV Makonda anamtaja Mbowe kuwa anahusika na madawa ya kulevya. Jee haya ni mapambano ya madawa ya kulevya au kuna hidden agenda?
Anashukuru leo kuwekwa front page ya gazeti.I wouldn't go to the media kama kweli mimi ni kiongozi na nimeshafikishiwa majina ya watumia madawa ya kulevya. Kwenda kutaja majina kwenye media maana yake nini??? Kwani tunapambana na dawa za kulevya kupitia media? Kama ingekuwa ni hivyo basi hata lisingekuwa tatizo maana media zimeshaandika sana kuhusu tatizo hili. Thinking outside the box ni muhimu sana...