Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Acha upuuzi wewenilijiuliza hili swali tokea mwanzo na nitaendelea kujiuliza mpaka pale nitakapopata majibu halisi. sidhani kama kuna mwenye dhamira ya kweli ya kupambana na uuzaji na utumiaji Wa dawa za kulevya Bali naona mwisho Wa hili tunaweza kushuhudia viongozi wengi Wa upinzani wakiishia Kuleeeeeeeeeee! huenda hii ni mbinu Moja wapo waliyoamua kuja Nayo. Muda utasema
Upinzani hauwezi kufa kwa njia ya kubambikizia wapinzani kesi, upinzani utakufa kwa serikali ku deliver walichoahidi.Haya yalishapangwa ndio maana walianza kumkamata kwanza tundu lisu ili leo wamtaje mbowe wanapanga kuua upinzani kupitia makonda
Weka pembeni hayo. Kama una ajenda binafsi na makonda kaa pembeni. Hii vita hatutaki uvccm na u bavicha wenu.Makonda akwende ku update list yake kwa kuongeza jina la Masogange. Wanasema wahenga kuwa lisemwalo lipo. Akamhoji na huyo binti maana amekuwa akishutumiwa na watu wengi sana. Anakuwa mkali kama mbogo maslahi yake yakiguswa. Pia anatakiwa aje aseme amepata wapi utajiri alionao. Shutuma za mbunge Msukuma zinzhitaji majibu.
Makonda sawa na magufuli hawajuwi propaganda they are too transparent baada ya kuulizwa achunguzwe makonda kwa kupokea rushwa na kuweka vimada wauzaji wa madawa na kuwahifadhi wahujumu uvchumi na wakwepa kodi GSM anatibua mjadala hayo anayaweza lakini soon Magufuli na yeye mwenyewe makonda wataanguka vibaya hLakini pia ulimsikia alipo sema wanataarifa
Wao siyo wajinga.
Tatizo watu wanaingiza siasa na umimi ndani ya mapambano
Ubaguzi wa nani atajwe nani asitajwe!!
Akiwa mpinzani marufuku kutajwa!!
Haiwezekani
Reasoning ya kawaida tu kweli uwatukane ccm na kupambana nao afu uuze madawa??? Najua huyo ndie alikuwa anatafutwa na round 3 watamtaja lowassa.kwanini umeona Mbowe tu ndo kasingiziwa, unafiki utatubakisha hapahapa tulipo watanzania
Chopa si kunguru,kwamba inaruka tu hovyo hovyo mkuuItapaa usiku mkiwa mmelala...ndio ukweli, safari ni saa 11 usiku
Usipuuze maneno yake nduguAcha upuuzi wewe
Kutaja siyo kazi, kazi ni kuthibitisha.Nyie si ndio mlikuwa mnalalamika "eti makonda anataja vidagaa? sasa mnatajiwa mapapa kina mbowe mnasema kaonewa"
Mkuu, huyo Rodrigo duterte acha kabisa ulaya na marekani zilishtuka haki za binadamu wanapiga kelele,yeye akikutuhumu foleni unachukua Shaba mchezo unaisha, sisi hata robo ya roho ya Duterte hatuna labda tumwombe atupatie.Duterte anawakamata na anawaua na ametangaza vita hadharani kabisa