Ngamanya Kitangalala
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 501
- 1,214
Acha upuuzi wewenilijiuliza hili swali tokea mwanzo na nitaendelea kujiuliza mpaka pale nitakapopata majibu halisi. sidhani kama kuna mwenye dhamira ya kweli ya kupambana na uuzaji na utumiaji Wa dawa za kulevya Bali naona mwisho Wa hili tunaweza kushuhudia viongozi wengi Wa upinzani wakiishia Kuleeeeeeeeeee! huenda hii ni mbinu Moja wapo waliyoamua kuja Nayo. Muda utasema