Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.

Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!
Kweliieee aiseee kataja lakini bado moyo wangu haujasuuzika mpaka nikie wakina fulani kama mbwai na iwe mbwai wametuulia sana nguvu kazi ya Taifa bila kusahau viroba.
 
Yaani kati ya kitu ulikosea ni kumuwekea dhamana binadamu yeyote anaweza kuwa chochote wakati wowote..
 

Tulia! usifanye kazi ya mahakama.
 
Lisu kukamatwa zitto hakijaeleweka mbowe kupewa tuhuma za unga sasa nimeelewa mission ya makonda alikuwa anatumika kwa malengo maalumu
Kunyà anye kuku akinya bats kacbafua duh! We ulitaka atajwe nani?
 
kama msukuma analipenda taifa angetakiwa kulisemea kabla ya makonda kuamka na hii operations
Mkuu ndio maana kuna usemi ''ukimwaga ugali namwaga mboga''mimi naamini hawa wanajuana mishe mishe zao sisi acha tuendelee kuangalia hii movie.
 
Hii vita Uchwara itamshinda vibaya sanna..
Muda utasema
 
kwa list ya leo makonda kwa mara ya kwanza nakuunga mkono maana mmmh naamini hawataishia hawa tu kuna mipapa mingine nje huku.
 
Mbunge wa hai katajwa km mtumiaji au muuzaji?!...sijaelewa vzr hapo
Hata alitaja atashindwa kujibu ,,ila mm nilivyoelewa ni kwamba hawa wanamahotel sasa wale wenzake wakina tunda wanakuwa wanaenda kufanyiaa biashara kwenye mahoteli yao sasa wakajibu na jinsi ya kuweza kudhibit biashara kwa wafanyakazi wa chini kama club za bilcanaz ,ila kwa wengne ni kweli wanafanya hizo biashara
 
Wamemtafuta mbowe kila kona sasa wameamua kumbambikizia kesi za madawa ya kulevya ili kuua upinzani,makonda anatumiwa.
Ndo wenye akili tulikuwa tunasubiri kuona comments kama hizi,kwani kuwa mwenyekiti wa chadema unadhani ndo usafi..!!
 
halafu anawapoza eti kuitwa polisi haina maana umekamatwa,eti tutawaita tuwasikilize......

Utadhani labda wema ni bubu...

Hapo hamna kitu,tangu mwanzo haikupaswa kutangaza hatua zake,kama wanahusika watu wameshafuta ushahidi,na kama hawahusiki hiyo ni harrasment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…