mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,170
Kweliieee aiseee kataja lakini bado moyo wangu haujasuuzika mpaka nikie wakina fulani kama mbwai na iwe mbwai wametuulia sana nguvu kazi ya Taifa bila kusahau viroba.Akomae, vita dhidi ya madawa ya kulevya ni kali sana.
Ndio maana hao akina MSUKUMA wamenyanyuka juu yake baada ya kuona maslahi yao yameguswa!