Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Ina maana hamuamini kuwa Mbowe anajihusisha na biashara ya unga?
Ni mpuuzi kama wewe tuu unayeweza kuamini kuwa Mbowe ahusike na jambo hilo siku zote asijulikane mpaka Makonda ndiye amtaje.
Jinsi anavyo windwa waweza kudhani anaweza kujiingiza kwenye ujinga kama huo?
Nyie endeleeni kumkebehi Mungu kuomba muombewe lakini naanza hisi ndoto ya Godbless yaweza kutimia mapema zaidi
 
Mnachoona sasa pamoja na kazinzuri ya makonda wanainuka baadhi ya wah kumpinga ndipoo lile nenoo la mh raisi alilisema wachafuu wajiondoe wenyewe else wataondoka kwa aibu

Kinachofanyika sasa ndicho tulichotarajia wale waliokuwa wakisimama kwa ajili ya wananchi leo wannza tetea wauzaji na watumiaji madawa ya kulevyaa

Nawahakikishia list ni ndefu mchujoo mrefu unakuja yangu macho
 
Sababu JF ni ya mama ako ndomana sikutakiwa kuwepo hapa..we mwenye akili kubwa unatafuta nini kwenye forum ya Melo?
Ndo maan nikasema hukutakiwa kuwa hapa soma tena ulichokiandika na jipime kama wew ni greatthinker
 
Wenye akili walijua kua ninyi vijana mupo humu kupiga kelele lakini hakuna unachojua.
 
Huyo Musukuma mwenyewe tunaweza kumuanika ni namna gani aliupata huo utajiri wake wakati ni mbumbumbu tu asiye na shule anaishi kiujanja ujanja tu
 
Wamemtafuta mbowe kila kona sasa wameamua kumbambikizia kesi za madawa ya kulevya ili kuua upinzani,makonda anatumiwa.


Hata Madeni mlisema hivyo hivyo mkafungua kesi Mahakamni ili kuuwa soo lkn mwisho wa siku ukweli ukashinda na Mbowe ni kweli alikuwa anadaiwa na bado anadaiwa hajalipa fedha zetu, hivyo hata hili Mbowe ni muuza Unga!
 
Kupitia Clouds TV Makonda anamtaja Mbowe kuwa anahusika na madawa ya kulevya. Jee haya ni mapambano ya madawa ya kulevya au kuna hidden agenda?
Ukwel umeanza kuonekana cyo mapambano ya unga bar mapambano ya chadema na ccm
 
Kwa nafasi ya mbowe hata siku 1 hawezi kuwa bwege kufanya biashara hiyo hata siku 1,ngoja tuone anaetafutwa hapa
Acha uzuzu wewe!
Mbowe ni mmiliki wa Billicanas& Cassino na kwenye mahoteli makubwa matumizi ya madawa yapo juu so hata kama hafanyi yeye kama hotel yake imeorodheshwa basi atatoa ushirikiano kwa kamanda Sirro
Be quiet.
 
Nilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
hahahahah ila na wewe kada mwenzangu sasa! kwani ametaja CHADEMA au amemtaja Mbowe kama individual mtu
 
Upuuzi mtupu
Asema hao akina Mbowe wamekamatwa na ton ngapi,lini na wapi?Lengo hapa ni kuichafua CDM ionekane kama chama cha kihalifu
Jitu zima hovyoo!
 
Wamemtafuta mbowe kila kona sasa wameamua kumbambikizia kesi za madawa ya kulevya ili kuua upinzani,makonda anatumiwa.
Mwanawani...mbona sielewi...naunganisha nukta..kutoka kwenye blis...ninakuja..kwenye...shamba lake..ninakuja sijui kwenye madai..gani ya bank sijui..njoo sasa kwenye wabunge wake na viongozi wake walioweka ndani mpaka jana...ninamuona kamanda kwenye wakati mgumu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…