radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
L.akini amesema kwa wale anaowataja, taarifa zao wanazo kuliko hata wanavyofikiria. stay tune
ngoja tusubir mkuu huenda vyanzo vyao wanavujua na washavizibit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
L.akini amesema kwa wale anaowataja, taarifa zao wanazo kuliko hata wanavyofikiria. stay tune
yani kuna wakati huwa nashangaa akili za binadamuMakonda atakufa kifo cha ajabu sana mdomo wazi
Damu za watu gani? Kuna mtu kamuua?Mungu hawezi kuwa kwa mumiani kama makonda anayepanda kwenye migongo ya damu za watu ili apande
Ili nitoke ningemtaja yy mwenyewe
Ni mpuuzi kama wewe tuu unayeweza kuamini kuwa Mbowe ahusike na jambo hilo siku zote asijulikane mpaka Makonda ndiye amtaje.Ina maana hamuamini kuwa Mbowe anajihusisha na biashara ya unga?
Ndo maan nikasema hukutakiwa kuwa hapa soma tena ulichokiandika na jipime kama wew ni greatthinkerSababu JF ni ya mama ako ndomana sikutakiwa kuwepo hapa..we mwenye akili kubwa unatafuta nini kwenye forum ya Melo?
Wenye akili walijua kua ninyi vijana mupo humu kupiga kelele lakini hakuna unachojua.Siasa za Makonda ni za chuki.Wale waluosemwa na Sema kwamba wamehonga wakafutiwa mashtaka amewataja??Diamond amemtaja??Mmiliki wa zile shule zenye jina kama za wakatoliki je??Ifike mahali Tuache siasa chafu. Mnadhani Mbowe angekuwa anafanya hiyo Biashara mpaka leo angekuwepo??
Kuna siku hizi chuki zitatufikisha pabaya.Tutaishia kaka naomba nisamehe umeshaharibu sifa ya MTU.
Angewasikiliza wenye taaluma yao kuliko kuropoka.
Huyo Musukuma mwenyewe tunaweza kumuanika ni namna gani aliupata huo utajiri wake wakati ni mbumbumbu tu asiye na shule anaishi kiujanja ujanja tuMsukuma anajipalia kaa la moto, kama hatokuwa ahusiki na yeye kwenye biashara basi, atakuwa anatumiwa kulizima ilo sakata la madawa ya kulevya na mapapa, ndo maana anakuja na hoja za makonda za kwenda US, UK na dubai ambazo kimsingi ni trike ambayo ishazoeleka kwa watanzania jinsi ya kuzima hot move nchini, refeer babu wa loliondo
Wataimba wimbo ule ule sababu za kisiasa unafikiri mwanasiasa peke yake.Nasubiri kusikia kauli ya Halima Mdee na Zitto Kabwe
Someone will unlock the code'sDeliberately constructed...!
Wamemtafuta mbowe kila kona sasa wameamua kumbambikizia kesi za madawa ya kulevya ili kuua upinzani,makonda anatumiwa.
Ukwel umeanza kuonekana cyo mapambano ya unga bar mapambano ya chadema na ccmKupitia Clouds TV Makonda anamtaja Mbowe kuwa anahusika na madawa ya kulevya. Jee haya ni mapambano ya madawa ya kulevya au kuna hidden agenda?
Acha uzuzu wewe!Kwa nafasi ya mbowe hata siku 1 hawezi kuwa bwege kufanya biashara hiyo hata siku 1,ngoja tuone anaetafutwa hapa
Au hilo jina walimchomekea bila yeye kujua?maana kazunguuuka mpaka wakamkumbusha.kwa Mchungaji Gwajima kamung'uuunya kumtaja khaaaa
hahahahah ila na wewe kada mwenzangu sasa! kwani ametaja CHADEMA au amemtaja Mbowe kama individual mtuNilijua tu hizi nguvu za kuwatetea wauza Sembe ni kwamba chadema wanahusika na uuzaji Sembe, sasa Tundu Lisu abanwe mpka aseme Sembe huwa wanatoa wapi!
Mwanawani...mbona sielewi...naunganisha nukta..kutoka kwenye blis...ninakuja..kwenye...shamba lake..ninakuja sijui kwenye madai..gani ya bank sijui..njoo sasa kwenye wabunge wake na viongozi wake walioweka ndani mpaka jana...ninamuona kamanda kwenye wakati mgumu sana..Wamemtafuta mbowe kila kona sasa wameamua kumbambikizia kesi za madawa ya kulevya ili kuua upinzani,makonda anatumiwa.