Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Duh! Kumbe Tundu Lisu alipokuwa analalamika mapapa wanaachwa alikuwa anajua anachokisema! Nadhani sasa ataridhika.
 
Upinzani haufi kwa njia hii,makonda na magufuli mnajidanganya
 
Mkuu hii inapaswa kuwa kiitikio kwenye wimbo huu wa www.ngada.com/makoondakta
 
Mbowe bado muhimu ila kweli hizisoft politics za akina lowassa waachane nazo kabisa wanachezewa kwa sababu wamesuccumb ccm ya sasa ni mtulinga kwa mtulinga period
 
Mbona hayo majina wengine hayako specified? Unataja vip jina moja tu la mtuhumiwa? Utasemaje mmiliki wa Slipway, ndo jina lake hlo? Nani anamjua huyo mmiliki wa Slipway? Bado namashaka makubwa na hii list
 
sasa hio list mtu umemuandika jina moja kweli au geresha, mf noriega - ilala , utampataje mtuhumiwa kwa jina moja hata ubini wake huujui , hio list mapichapicha tu
Na hapo ndipo mashaka yanaendelea! Huwezi kumrank mfano Manji na mtu kama huyu kwenye level moja ya vita ngumu kama hii unless ushahidi umepatikana na ndio unawapeleka mahakamani!
 
Naona baada ya kukosa Mbowe kila mahali naona hii ndiyo ngazi ya mwisho kumbambikizia madawa any way ngoja tusubiri ushahidi
Kwa nini unaamini hivyo?......


Wakati rafiki mwema, daima husema kweli
 
Hussein pambakali ni rafiki yake Mkubwa na Le mutuz . .kwanini le mutuz hakamatwi???
 
Hahahaha bye bye chadema.. SISI tulikuwa tunajua kuwa uchaguzi wa mwaka JUZI.. Manyumbu tulishikwa Ila ukweli ni kwamba bado kidogo atajwe aliyekuwa mgombea wa urais. Huu Utabiri nakupa Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee
 
Hivi mbunge wa Ilala anaitwa nani? na yule alokuwa wa Kino anaitwa nani?....nani ni Zungu kati yao...haya majina na la huyo alowekwa hapo juu ni kama yanafanana....wasije mharibia mtu asiyehusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…