Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Philemoni Mbowe ndiyo nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manji, idd azan, wema sepetu ni wapinzani?Wanaotafutwa hapa ni wapinzani,waache uhuni wao
Mkuu pia nashangaa, watu wamelilia majina yametajwa sasa wanageuka kuwa watetezi, si wanaenda kuhojiwa kama hawahusiki wataachwa huru.Yaani kati Gwajima,Mbowe,Iddi Azan, Manji na wengineo.....Kwa nini Mbowe tu ndio anatetewa.?
Mkuu Mimi ni siipendi ccm,ila kwq swala la MADAWA acha wakajibu. Sitetei MADAWA ya kulevya. Sitaki kuweka ukada wa kishamba kwenye swala la madawa ya kulevya. Hata kama angetajwa Ridhiwani kikwete,Tundu lisu Mimi sioni cha ajabu. Taifa haliwezi kupoteza nguvu kazi(vijana) kwa sababu ya kuwachekea wachache sababu ni wakubwa. Wakipatikana na hatia acha mkondo wa sheria uchukue nafasi yake.Huyo ni mtani wangu...tunajuana. Ila umeiskia orodha ya Makonda? Mbowe yumo!
ajabu, wacha waliotajwa wataenda toa hayo mapapa ambayo wanayaficha na awamu ya 3 wawataje tuwaone, tunasubiri season 3Siwezi bisha Ila jiulize mapapa walio wafazili wa chama kubwa na hata member wao mbona hawatajwi ?
mbona azan tangu nazaliwa mpaka nazeeka anauza unga huyo huamini kuwa ni mashuhuri?Nimeamini kweli Mbowe ni mfanya biashara mashuhuri