Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Hii hapa list, Mod 1 Mod 2 Mod 3 Mod 4 wausaidie kuweka kwenye thread pale mwanzo.
List.PNG



List2.PNG


List3.PNG
List3.PNG
 
  • Thanks
Reactions: Luv
duh..sijui mlitaka atajwe nani??
kama mbowe hausiki maana yake hana hatia..na ataachiwa..hawawez kumfunga n
bila ushahidi....
 
Wananipotezaje? Hebu acha maneno ya kichochezi.
Mzee ulitoka CCM kufuata mtu, ukawa shabiki wa mtu...ukasahau na kutupa principles...sasa unaona Mwenyekiti Mbowe yumo kwenye orodha ya Makonda...ulipotezwa mzee...rudi tu nyumbani maana hata Mzee pumzi imemuishia kabisa hasikiki tena!
 
Swala la madawa ya kulevya si la Bavicha wala uvccm,ni la watanzania wote. Wekeni pembeni itikadi zenu za kisiasa.
Huyo ni mtani wangu...tunajuana. Ila umeiskia orodha ya Makonda? Mbowe yumo!
 
Kweli huyu mkuu wa mkoa anastahili pongezi ya hali ya juu. Hakuna mtu kwenye historia ya Tanzania aliyewahi kuonyesha angalau uthubutu wa kupambana na hili janga . Nadhani madawa ya kulevya si bongo peke yake sijasikia wakuu wengine wa mikoa wakiunga mkono vita hii
 
Aaaaahh nimegundua kitu fulani ktk maoni mbalimbali.
Kuna watu wengi ambao wanahitaji wema sepe atolewe huku wakioneshwa kutopendezwa na sepe kutajwa....nabak najiuliza sepe Ana miujiza gani ya kutetewa na watu wengi ilehali inasadikika amefanya kosa.... [HASHTAG]#sipoapo[/HASHTAG]
Pili watu wengi wanasema vita hi ni kubwa ni kwel kubwa sana kwakuwa hata baadhi ya wanasiasa wakubwa wameonesha kutosapot operation hi ya makonda(bungeni)
Pia vita ni kwel kubwa kwa kuwa kuna baadhi ya wengi wao wanatetewa na kuonekana kama wameonewa [HASHTAG]#miesimo[/HASHTAG]
 
Aiseeee mambo ni mazito
Mbowe kwenye list
Lema ndani anasubiri hukumu
Lijuakali miezi 6
Lissu ndani kwa mahojiano
Zitto anaponea chupuchupu
Lipumba ndiyo anajulikana na msajili

Siijui siasa ila I doubt something big will come before 2020
Mbona kwenye hiyo list naona jina la "Philemon Mbowe" na si "Freeman Mbowe" au ni uwezo wangu wa kusoma na kuelewa umepungua
 
sasa hio list mtu umemuandika jina moja kweli au geresha, mf noriega - ilala , utampataje mtuhumiwa kwa jina moja hata ubini wake huujui , hio list mapichapicha tu
 
Back
Top Bottom