Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Mmmm mambo yamekaa kisiasa zaidi. Kwanini asiwape kazi hii usalama badala ya kukimbilia kwenye media.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mlikuwa mnataka wauza madawa papa? Sasa mlitaka wawe kina nani? Hawa ndiyo mapapa siyo RayCUpuuzi mtupu
Asema hao akina Mbowe wamekamatwa na ton ngapi,lini na wapi?Lengo hapa ni kuichafua CDM ionekane kama chama cha kihalifu
Jitu zima hovyoo!
Oneni boya huyuMakonda ni chaguo la Mungu.
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.
Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Azam Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.
Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...
![]()
Tega usikie....(Stay Tuned)
=======![]()

=======
UPDATE:
=======
Ameanza kwa Kumshukuru Rais wa Jamuhuri.
Paul Makonda asema anataka wauzaji wa dawa za kulevya wajulikane hadharani na hakuna sababu ya kuficha.
Paul Makonda asema vita vya dawa za kulevya vilianza muda mrefu kwa kufutilia hali ilivyo mitaani.
'Kuna watu nilitaka nikutane nao polisi, kuna tofauti kati ya kukamatwa na kuitwa, unapoitwa unapewa nafasi ya kusikilizwa'-RC Makonda
'Kampeni hii dawa ya dawa za kulevya si ya kufanyika kimyakimya tunataka hata watoto wadogo wajue dawa hizi ni hatari kwa afya'-RC Makonda
'Asante kwa watu kama TID, nawapongeza kwa kukiri na kusema kuwa wanatambua namna walivyoingia na kuomba serikali kuwasaidia'-RC Makonda
'Tumemaliza awamu ya kwanza vita ya dawa za kulevya, sasa hii ni awamu ya pili ambayo itakuwa si nyepesi itakuwa na mawimbi mengi-Makonda
'Awamu ya 2 ya vita ya dawa za kulevya tunaianza leo na tunaianza tukiwa tumekamilika, nimekuwa kwenye operesheni usiku na mchana- Makonda
'Watu wanafanya biashara za dawa za kulevya na meli zinazokuja na mafuta'-RC Makonda
'Kuna mama kazi yake ni kusafirisha watoto wa kike ambao wanapewa dawa za kulevya, wawili wako jela China na amewatelekeza'-RC Makonda
'Tukiendelea kuvutanavutana tutapoteza lengo la kupambana na dawa za kulevya'-RC Makonda
'Tukishindwa vita hii ya dawa za kulevya, hajashindwa Makonda au Rais Magufuli tumeshindwa wote'-Rais Makonda
'Tuko na majina 65, nitahitaji kukutana nao ijumaa, wako wanaosemekana wanatumia, wako wanasemekana wanazo taarifa zitakazotusaidia-Makonda
'Nawashukuru wenyeviti wa mitaa wameanza kuleta majina ya watu ambao wanawasiwasi nao kuhusu dawa za kulevya'-RC Malone's
'Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikiri kazi yetu ni kuwasikiliza'- RC Makonda
'Zile nyumba mnazozitilia shaka, hamuelewi hata kinachoendelea ni wajibu wetu wananchi kutoa taarifa na taarifa zitakuwa ni siri-RC Makonda
'Kuna ambao tuliwaita wako nje ya DSM, wapo waliotoa taarifa na watafika ila wapo waliokimbia tunawafuatilia na tutawapata wote'- RC Makonda
'Nawashukuru ndugu zangu walioko nchi mbalimbali kwa kunipigia simu na kunipa taarifa mbalimbali'-RC Makonda

Na IDD Azani he, acha mihemko ya uchama!Wamemtafuta mbowe kila kona sasa wameamua kumbambikizia kesi za madawa ya kulevya ili kuua upinzani,makonda anatumiwa.
Ameulizwa kapuyanga tu!!Wamuulize kuhusu Masogange.
haijawahi kuwepo tetesi wala shaka Naye hapo kablaYaani kati Gwajima,Mbowe,Iddi Azan, Manji na wengineo.....Kwa nini Mbowe tu ndio anatetewa.?
Makondaa wana akili zako umezikalia sioNdo wenye akili tulikuwa tunasubiri kuona comments kama hizi,kwani kuwa mwenyekiti wa chadema unadhani ndo usafi..!!
Kumbuka hiyo ni chain wamo ccm, ukawa,simba, yanga nkMTU wa upinzani ni vigumu kufanya biashara haramu. Watapatia sababu ya kumnyaka
Anakuwa mkali maswali ya Masigange
Hahaaaaaaaakubwa la maadui Mbowe ndani ya nyumba...Chezea Makonda wewe!Unaelewa tofauti ya umiliki na management? Kajifunze kwanza
Labda atafafanua pia ile hoja ya Jose Msukuma jana bungeni kuwa ameepataje utajiri mkubwa alionao ndani ya miaka 3 tu
Kisheria Wema Lazima afungwe kwa kosa la kudhiaki Muheshimiwa wa mkoa na kukutwa na bangi. Bangi ipo katika kundi la Madawa ya Kulevya, kwa iyo kukutwa kwake tayari uthibitisho upo. Serikali ina mkono mrefu, yeye alikuwa ajui hayo. Na watu wanadharau kwa sababu wanamuona ni kijana mwenzetuwema athibitishe vinginevyo sheria ichuke mkondo wake!
Muuza unga asielipa pango? Kazi ipo?Hata Madeni mlisema hivyo hivyo mkafungua kesi Mahakamni ili kuuwa soo lkn mwisho wa siku ukweli ukashinda na Mbowe ni kweli alikuwa anadaiwa na bado anadaiwa hajalipa fedha zetu, hivyo hata hili Mbowe ni muuza Unga!