Anaongea nini sasa.
Na yeye akareport central akahojiwe. Tuhuma zake sio za kwenda kwenye media kujisemesha.
Hii tuhuma ya yeye kuwa na mahusiano ya kmapenz na dealer wa kmataifa wa madawa sio ndogo. Magufuli hapashwi kulifungia macho hili.
Na mali alizo nazo sasa zifanyiwe auditing. Huyu kwa mwaka mmoja inasemekana ameaccumulate mali kumzidi hata Raisi wake. Hata mawaziri hawamfikii. Sasa awataje wahisani wake wachunguzwe.
Na wale wauza shisha waliotaka kumuhonga awataje nao wahojiwe. Msitufanye sisi wajinga
Huyu atakuwa anashirikiana na gang flani la wauza unga ila kaja na project ya kuwaeliminate dealers wengne ili watakaobaki wawe monopoly ili wamake abnormal profit. Tusidanganyane hata siku moja mkuu wa mkoa ambaye ni kada wa CCM et kupambana na madawa ya kulevya. Huku ni kujitaftia mazingira ya kupewa rushwa tu na biashara mwisho wa siku itaendelea as usual.
Kuna mwaka USA ilipata tuhuma za kutumia madawa ya kulevya kama source of Government income. Ni kwamba USA ilikuwa vbya kwenye uchumi. Serkal ikaja na mbinu kali za kutyte wauza madawa. Bei ya madawa ikapanda. Wao walikuwa na special depertment kwenye kitengo cha CIA/ Polisi waliojulkana kama bad cops ambao walikuwa wanachukua percent kutoka kwa drag dealers. Hii percent ilienda serkalini. Katika hiyo miaka madawa yalisafirishwa mpaka na ndege za jeshi.
Allegations of CIA drug trafficking - Wikipedia
Sasa isije ikawa na tz ikaelekea uko.