Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Reasoning ya kawaida tu kweli uwatukane ccm na kupambana nao afu uuze madawa??? Najua huyo ndie alikuwa anatafutwa na round 3 watamtaja lowassa.

Kwa staili hii utahojiwa na kuachwa ila tayari wameshakuchafua jina....... ni bora angekuwa na ushahidi kabisa wakukamate na kesi unafunguliwa haya ya "KUKUTANA NAYE" afu unaachiwa ni kuchafuana tu.

Kma yuko serious angeomba list ya kitwanga aliesema walishafanyia uchunguzi then angechukua ya wakazi wa dar awakamate full stop ssa list ya kikwete na kitwanga waliosema ina majina yaliokiwsha fanyiwa uchunguzi inakuwaje wanaiaxha na ssa tunafanyia kazi list ambayo haipo verified ma chombo chochote cha ulinzi???

Hapa kuna shida sehem.....
fikiria mara mbilii wewe Idd azan, kitwna na manji hao wote ni CCM unasemaje wanakamatwa wapinzani tu,
mtu kama Sepetu ni kada mkubwa tu Chama dola
hivi mnatumia akili hizihizi wanazotumia watu wengine au mnafikiri kwa kutumia viungo vingine
 
Kauli za Makonda mwsho Chumbe Zanzibar zisiingie, wasikie harufu tu
 
Huyo Musukuma mwenyewe tunaweza kumuanika ni namna gani aliupata huo utajiri wake wakati ni mbumbumbu tu asiye na shule anaishi kiujanja ujanja tu
Kuna memba hapa JF kasema Msukuma alikuwa na duka la simu feki huko Arusha na ghafla akafunga biashara na kutokomea usukumani na ghafla akaibuka ni milionea tayari!
 
Naona hata Polisi wenye hukumu.la kufanya interview watuhumiwa jukumu hili linafanywa na Mkuu wa Mkoa.Ni bora Tuambie kwamba ameteuliwa kuwa IGP au Waziri wa mambo ya ndani.

Naona jinsi jamaa atakavyoanguka vibaya
Naona umekuwa sheikh Yahya, acheni unazi kwenye mambo ya msingi, au kwa vile Aikael ametajwa??
 
Wakuu Mimi kuanzia Leo siyo mwanachadema tena ni aibu kubwa sana mwenyekiti wetu kuwa na tuhuma kama hizi hata kama siyo kweli ni tuhuma kubwa kwake.

Nilivumilia ile ya kunywa Viroba Kwa sababu ni tabia binafsi ya mtu ila kwa hili la Kuuza dawa za kulevya limenichosha

Baada ya jina lake kutajwa nimedondosha simu yangu na kuvuja kioo kwa kweli imeniuma sana.
Chadema haiwezi kuwa na memba mpuuzi kama wewe,upinzani ni vita na vita ya magufuli ina mbinu za kishamba,ni mahakama gani imedhirisha Mbowe ni muuza madawa?
 
Ndugu Mbona kichwa cha Uzi kina majina na ktk maelezo yake uliyoleta hakuna majina au una chuki binafsi na hao watu?
 
Unaelewa tofauti ya umiliki na management? Kajifunze kwanza
Hiki ni kipindi cha watu kuwa makini sana, ni kipindi ambacho mtu unaweza ukafuatwa na polisi, "watu wa usalama", au mgambo nyumbani kwako ukakutwa na kiroba cha bangi au kichwa cha mtu-kinachimbuliwa nje ya nyumba yako! Kwamba kimefikaje hilo utajua mwenyewe ilimradi wanaokuwinda wamefanikiwa!
 
Kuna wengine wenyeviti wao wawili wapo kwenye list yaan wa chama na wa clab poleni mlioguswa
 
Watu ambao hamuelewi Gemu bora mtulie.

1:Jose kwanza aliwahi kuhojiwa akakiri kuwa alikuwa anafanya biashara hiyo.
2: Jose analatoka povu kisa Wema!!!(nafikiri mmenilewa)

Asante


Naweza kuwa sielewi kama wewe. Sasa niambie hoja ya ukwasi wa Makonda ipo au haipo? Tuyaache ya huyo Msukuma.
 
Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.

Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Kwani na rostam katajwa?
 
Walisema mbona hawagusi vigogo sasa kaanza kawataja bado mnamsakama. Hamjawahi kupoteza ndugu kutokana na hili janga eeh!! Sasa hivi issue imegeuka eti utajiri wake? Watanzania kweli tumelogwa🙁🙁
 
Anaongea nini sasa.
Na yeye akareport central akahojiwe. Tuhuma zake sio za kwenda kwenye media kujisemesha.

Hii tuhuma ya yeye kuwa na mahusiano ya kmapenz na dealer wa kmataifa wa madawa sio ndogo. Magufuli hapashwi kulifungia macho hili.

Na mali alizo nazo sasa zifanyiwe auditing. Huyu kwa mwaka mmoja inasemekana ameaccumulate mali kumzidi hata Raisi wake. Hata mawaziri hawamfikii. Sasa awataje wahisani wake wachunguzwe.

Na wale wauza shisha waliotaka kumuhonga awataje nao wahojiwe. Msitufanye sisi wajinga

Huyu atakuwa anashirikiana na gang flani la wauza unga ila kaja na project ya kuwaeliminate dealers wengne ili watakaobaki wawe monopoly ili wamake abnormal profit. Tusidanganyane hata siku moja mkuu wa mkoa ambaye ni kada wa CCM et kupambana na madawa ya kulevya. Huku ni kujitaftia mazingira ya kupewa rushwa tu na biashara mwisho wa siku itaendelea as usual.

Kuna mwaka USA ilipata tuhuma za kutumia madawa ya kulevya kama source of Government income. Ni kwamba USA ilikuwa vbya kwenye uchumi. Serkal ikaja na mbinu kali za kutyte wauza madawa. Bei ya madawa ikapanda. Wao walikuwa na special depertment kwenye kitengo cha CIA/ Polisi waliojulkana kama bad cops ambao walikuwa wanachukua percent kutoka kwa drag dealers. Hii percent ilienda serkalini. Katika hiyo miaka madawa yalisafirishwa mpaka na ndege za jeshi.Allegations of CIA drug trafficking - Wikipedia

43f5dd645d2131afae370625a6bdbe00.jpg


Sasa isije ikawa na tz ikaelekea uko.
Mkuu mbona unalalamika kama unajua wataje uache unafiki wako
 
Hapa anatafutwa mboe mengine ni gelesha tu opposition wawahi tu exile otherwise wataishia jela
 
Angalau sio anatutajia akina Wema sepetu na TID.
Hapa naunga mkono...
 
Wew ni teja au muuza madawa?mbona unaleta ujinga kweny mambo ya maana? Hyo Kesi yenu itafutieni muda now hatutaki kusikia mengine zaid ya wanaohusika na madawa.


Asante kwa matusi yako. Wenye akili wamenielewa na kunipa likes nyingi tu.
 
Back
Top Bottom