Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

SHOGA JAMES DELICIOUS

AAPA KUTAJA LIST YAKE KESHO ALIOTEMBEA NAE BILA KUANGALIA SURA.. DUH UKIKOSWA KWA MAKONDA HUYU ANAWALIPUA AMTOKI MWAKAAHUU LAZIMA TUNYOOKEE
 
Maneno mengi kwa taarifa zisizo sahihi. Waliotajwa asilimia kubwa ni wa chama dola. Mungu mkubwa katuonesha uchafu wote ikiwemo ufisadi ni CCMScrow.
 
Leo RC Makonda ktk majina 65 ya watuhumiwa,amemtaja Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai,kuwa Ijumaa naye afike kituo cha kati cha Polisi,RC Makonda amemtaja kama kaka yake.

Kumbukumbu zinaonyesha Mwenyekiti wa Chadema na mbunge wa Hai anaitwa Freeman Aikael Mbowe,na kwenye orodha ya RC Makonda kuna jina la "Philimoni Mbowe" kama mmoja wa wanaotakiwa kufika polisi kituo cha Kati

Bila shaka hata magazeti hayawezi kufanya "uhariri" kwa kuandika Freeman Mbowe,wakati ktk orodha "jinuini" ya RC Makonda,jina hilo halipo.

Yanaweza kuwa ni "makosa madogo" lkn ni makosa ya yanayoweza kuibuia hisia na mjadala.Ni kama ilivyo jina la Idd Azan Zungu,je ni huyu Zungu wa Ilala na Mwenyekiti wa Bunge?kama siye,je na yule wa Kinondoni naye anaitwa Zungu?

Ni mada chokonozi,inayotaka kuongeza umakini kwa wale wanaopigana na vita hivi!!Haya mambo yalimtoa Jomo Kenyatta wakati wa kupigania uhuru huko Kenya.Kuna waliomuandika kama Kenyata wakati yeye ni Kenyatta kwenye list ya wanaotafutwa na serikali ya mkoloni kama wachochezi.

Tuwe makini ktk mambo madogo,katika kutenda mambo makubwa

[HASHTAG]#Kataamadawa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#NoToDrugAbuse[/HASHTAG]
 
Mbona hayo majina wengine hayako specified? Unataja vip jina moja tu la mtuhumiwa? Utasemaje mmiliki wa Slipway, ndo jina lake hlo? Nani anamjua huyo mmiliki wa Slipway? Bado namashaka makubwa na hii list
hahaha hawataji majina utashangaa ukikuta ni dikteta uchwara ndo muhusika
 
HAPA KUNA TATIZO KWANI MHUSIKA NI MBOWE AS ELKAELI AU MMILIKI WA ILIYO KUA CLUB YA BILLICANAS? My take kwa vyovyote vile ukiwa na nightclub kama ilivyo kua billicanas madawa ya kulevya hayakosekani. Je Mbowe alikua ana husika directly or as a club?


Hata uandike Kimexiko nini Kiingereza lkn Mbowe chadema ni Muuza Sembe!
 

Wema ndo nani bna! acha kulia kulia! tulia serikali ifanye kazi yake.
 
Mbona Naona Ameandika Philimon Mbowe ...

Wa Chadema Najua Anitwa Freeman Mbowe..
Majina mengi yaliyotajwa hapo kisheria si majina halali! Eti Mtoto wa Chonji, Noriega, Kiboko, Daba n.k. Wangetaja jina sahihi la mhusika, kisha wanaongeza na a.k.a. Lakini kwa namna hiyo, labda watumie ubavu tu, kama ilivyo kawaida!

Halafu huyu Makonda anasema watu wataje majina ya wahusika. Kuna mwandishi kauliza juu ya Aggy Masogange, Makonda kawa mbogo! Yaani kwa Aggy anataka atajwe kinamna gani ili naye aitwe?

Hii vita ni maigizo; another political spin.
 
Jiongeze siyo kila kitu utafuniwe tu,
Wewe ndio wakujiongeza.. hauhitaji kutumia akili nyingi kutambua kuwa kunatofauti kati ya Philemon na Freeman.. wala haihitaji akili yakufundishwa.. hata mahakamani hawa ni watu wawili tofauti
 


FREEMAN AIKAEL MBOWE MBUNGE WA HAI KAMA ALIVOSEMA RC YUKO WAPI KWENYE HIYO LIST???
 
HAPA KUNA TATIZO KWANI MHUSIKA NI MBOWE AS ELKAELI AU MMILIKI WA ILIYO KUA CLUB YA BILLICANAS? My take kwa vyovyote vile ukiwa na nightclub kama ilivyo kua billicanas madawa ya kulevya hayakosekani. Je Mbowe alikua ana husika directly or as a club?
Ni Philemon Mbowe.
 
Anapangua shutuma za musukuma yetu macho watoto was nyumba moja wagombea fito..hapo ndio mwisho wa nyumba ya familia

Msukuma mfa maji tu! bangi ndo zinamdanganya soon nae ataitwa central.
 
SHOGA JAMES DELICIOUS

AAPA KUTAJA LIST YAKE KESHO ALIOTEMBEA NAE BILA KUANGALIA SURA.. DUH UKIKOSWA KWA MAKONDA HUYU ANAWALIPUA AMTOKI MWAKAAHUU LAZIMA TUNYOOKEE
Haha wacha tuendelee kupokea list za kila namna!
 
yani kuna wakati huwa nashangaa akili za binadamu
hivi hapo huoni umejipa nafasi ya Mungu? walau hata useme unahisi ila unaandika ukiwa umejipa mamlaka juu ya maisha ya mtu, vipi wewe utakufaje?
usipende ku judge sana unavyoviona kwa macho hautanielewa ila muda ndo mwalimu
 
HII MOVIE ISIJE IKATUMIKA KUWACHAFUA BAADHI YA WATU KWA MALENGO FLANI.
NAPENDEKEZA; KAMA WALIVYOTANGAZWA.
UCHUNGUZI UKUKAMILIKA WATULEJESHEE MLEJESHO ILI TUJUE WALIOSINGIZIWA NA WA KWELI
 
Hivi jaki umeme naye katajwa mumo.Alafu na ile connection ya china ya akina ommy sanga na kina nsa job nayo iwekwe hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…