Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Yeye na idol wake hawana tofauti! Nilimsikia akisema alienda kwenye mkutano wa OAU Ethiopia!!
 
Hii ni vita ya kisiasa ,mimi siamini Mbowe awe mjinga kiasi hicho awe anajihusisha na madawa ya kulevya
Kuna lugha ya kisanii imetumika wachache tumeielewa: Kuna wengine wanatumia, Kuna wengine wana taarifa by Makonda. Hapa Kuna hatari ya kushangilia chenga za mazoezini!.
 


knowledge is knowing what to say, wisdom is knowing where to say...... Tupo pamoja kiongozi mh.Makonda haki itendeke tu hapa. Hamna hata mmoja anayeonewa. VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA INAWEZEKANA KABISAAAAAAAAAAA. lets goooo Makonda
YOU ARE WHAT YOU THINK ABOUT...
 
Sasa hapa naona mkuu makonda unafanya kazi kumbe kale kautangulizi kalikua rasha rasha ma king Kong ndio wamesha anza kutajwa safi na Mungu akusimamie haogopwi mtu hapa
 
Wangapi CCM ......!?
 
M

Makonda ni kijana wa vuijiweni, hana ushahidi hata tone zaidi ya kutafuta misifa
Angetakiwa ajibu tuhuma za Jana bungeni kwanza na katika list hiyo ameshindwaje kuwataja watoto wawili wa marais wastaafu?
Kuna mmoja nadhani alionekana akimfunga kamba za viatu.
 
Hapa tunachanganya mambo, pia tusichanganye siasa, kwenye list ya majina ni philemoni mbowe , hayo majina wananchi wametuma kama yalivyo na yanatakiwa yasomeke kama yalivyo, chadema au hai hawana mbunge anaeitwa philemoni mbowe, hata mkuu wa mkoa anajua jina la mbowe lilivyo ,sasa kama ametamka jina la philemoni mbowe na kulihusisha na mbunge wa chadema sio sahihi, hizi siasa sasa, na haikutakiwa picha yake iwekwe hapo , tumtendee haki hata kama tunatofautiana katika mambo mengi.
 
Mdomo na mkono kuna wakati vinateleza wakati wa kufanya mawasiliano!
 
wakati anataja alisema kabisa kaka yangu freeman mbowe tena akaongeza mbunge wa hai lakini makazi yake ni hapa Dar
 
makonda ni waziri au mkuu wa mkoa


makonda acha kutafuta kiki vita ya dawa za kulevya ata ukipewa mtaa tuu hiyoo vita hutaweza

usimsahau yule bos wako uliekuwa unambrush viatu
 



'Mwacheni Makonda amalize vita yake then tutakuja kujadili hizo tetesi zenu'. [HASHTAG]#one[/HASHTAG] thing at a time.
 
Hii sio vita ya madawa ni vita ya siasa!! Unless hatujui vita ya madawa ikoje!! Huwezi mshika mlevi au mtumiaji ukasema unapambana na madawa!!!

BTW yale majina ya jk mbona hayatajwi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…