Bob Kawari
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 1,231
- 1,621
Muilizeni kama ameandaa fidia kuwalipa iwapo hawatopatikana na ushahidi, hii kesi tamu sana asidhanie kuwataja kina mbowe au manji watamvumilia kuwaharibia jina[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86] [emoji86] Mbowe?
Huyu kijana hizi kiki ni too much.
Endelea kuniongezea list mkuu,asante.
Acha kujitoa ufahamu huyo ni Philemon Mbowe not Freeman Mbowe wa chadema na Ijumaa hatoripoti polisi.Bora huyo kila mtu anajua, kuliko huyu aliejificha kwenye siasa za upinzani.
Nini sio kweli?Sio kwel bwana.
Ukiamini Freeman Mbowe anauza madawa basi hata ukiambiwa your mother is a prostitute Mara moja utakubali na kutangaza kuwa huo ni ukweliHata uandike Kimexiko nini Kiingereza lkn Mbowe chadema ni Muuza Sembe!
Mfanyabiashara wa madawa kulevya mkuu.Philemon Mbowe ni nani?
Muilizeni kama ameandaa fidia kuwalipa iwapo hawatopatikana na ushahidi, hii kesi tamu sana asidhanie kuwataja kina mbowe au manji watamvumilia kuwaharibia jina
yeah kwa kweli hapo confusion still loading......Hivi mbunge wa Ilala anaitwa nani? na yule alokuwa wa Kino anaitwa nani?....nani ni Zungu kati yao...haya majina na la huyo alowekwa hapo juu ni kama yanafanana....wasije mharibia mtu asiyehusika
Defamation inamuhusuwakati anataja alisema kabisa kaka yangu freeman mbowe tena akaongeza mbunge wa hai lakini makazi yake ni hapa Dar
Bavicha leo hawaamini kilichotokea, walikuwa wanamshinikiza Makonda aachane na vidagaa ataje mapapa, kilichowakuta hawana hamu
Ukitaka kujua serekali hii inaendeshwa kwa siasa za kitoto na chuki za kipuuzi hebu angalia hiyo list, imejaa nicknames kibao. Kwa watu walio serious tena na jambo ovu kama hilo wangejiridhisha na kupata majina halisi. Sasa hata kupata majina halisi ya watuhumiwa umeshindwa utawezaje kujua kama wanafanya hiyo biashara. Watu wenye uelewa tunawadharau na kuidharau serekali yetu kwa sababu ya huu utoto.
zile fedha za udhamini wa timu inabidi sasa zichunguzwe zinapotoka.Mi ndio naposhangaa hapo mbona Yanga hawapigi kelele, wakati chairman wao nae yupo kwenye listi
Freeman hayumo orodhaniStrong attack towards chadema:
1. Ben saanane
2. Godbless lema
3. Tundu lisu
4. Freeman Mbowe
'Mwacheni Makonda amalize vita yake then tutakuja kujadili hizo tetesi zenu'. [HASHTAG]#one[/HASHTAG] thing at a time.
kama hujui vtu tulia usipende kukulupuka azamtv cloudstv wote wamelusha mkutano huuKwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?